Uko sahihi mleta Uzi........ila Wanawake wenyewe wanataka kuwa single mother,japo si wote.Binafsi kuna binti niliwahi kuwa naye kwenye mahudiano, nikaona hapa sasa ngoja nioe, kwasababu tulikuwa tumefahamiana vema,baada ya kumwambia nataka kuja kwenu, akasema yeye kwenye maisha hajawahi kuwaza kuolewa,atazaa na kulea watoto mwenyewe hataki kubanwa banwa,nikapiga chini......akazaa na mume wa mtu iringa huko, ghafla akaanza kunipigia na kuomba ushauri kwangu na kukiri hakuwa na maamuzi sahihi kwasababu ni ngumu sana, mtoto alipokuwa kuna mwamba akaingia line akampeleka kwao,jamaa amemzalisha tena na hana habari naye tena japo alitarajia amuoe......kila siku anapiga Simu nimshauri [emoji3][emoji3].
Pamoja nasisi kuacha mbegu ovyo,ila dada zetu nao baadhi hawaelewi nini wanataka