Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Dah!Hatari kweli.Kwa hiyo huwa unatoka na ma-alama ya vichapo vya makofi?😜Sijui nyie mmeumbwaje jamani! Khaaaaa!
Hivi aliyewapa kibali wakati wa sex kutupiga makofi makalio yetu ni nani? Aliyewaambia wakati wa sex ni wakati wa kupigana makofi nani? Unakuta jitu hata kukufikisha halikufikishi kazi kukupiga makofi tu makalioni ili lionekane linaweza mambo kumbe hamna chochote.
Porn movies zimewaathiri wengi wenu, hivyo mnaiga kila kitu!
Mwanamke anataka kuridhishwa na siyo makofi.
Nadhani mmenielewa wanaume wote.