Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

Sijui nyie mmeumbwaje jamani! Khaaaaa!

Hivi aliyewapa kibali wakati wa sex kutupiga makofi matako yetu ni nani?

Aliyewaambia wakati wa sex ni wakati wa kupigana makofi nani? Unakuta jitu hata kukufikisha halikufikishi kazi kukupiga makofi tu matakoni ili lionekane linaweza mambo kumbe hamna chochote.

Porn movies zimewaathiri wengi wenu hivyo mnaiga kila kitu!

Mwanamke anataka kuridhishwa na siyo makofi.

Nadhani mmenielewa wanaume wote.

Likikupiga na wewe kwanini usilipige??!
 
Wewe siyo msemaji wa wanawake kwahiyo ONDOA generalization

Kuna KE wanapenda sana kama Amehlo kupigwa makofi ya matako, wengine wanataka kutukanwa na kutukanwa

Kama hupendi ni wewe binafsi na umeambie huyo anaekupiga ajue anakukosea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo nimechekaa hadi machozi yanatokaa, khaaaah
Mlongo ni kweli..!! Sasa kilele kipo Arusha, mimi naelekea Arusha, wewe unaelekea Mtwara, UTAFIKA KWELI? Na ndo ilivyo kwenye uhalisia. Na ndiyo maana wanawake wote wasipofika kilele ANALAUMIWA MWANAUME.

CHA KUSHANGAZA VIBOMBA WANAVIPA USHIRIKIANO NA WANAVIELEKEZA PALE PANAPOWAFIKISHA KILELE NA WANAFIKA. LAKINI KWA WANAUME WANAELEKEA MTWARA WAKATI KILELE KIPO ARUSHA.
 
Iyo inaitwa Sadism,kuna wadada wengne kwao ni fantasy wanapenda kupiga mbata za makalio inakua inawaongezea washa washa za kugongana,sijawah kujaribu kwa mwanamke wangu wala sijawah kukutana na mwanamke anaependa iyo kitu
 
Sawa
Screenshot_20230411-072601_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom