Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

Sina la kuongeza yote kwa yote makofi nikibwagizo flani hivi kwenye tendo na mara nyingi naona yanawaongezea msisimko zaidi😂😂😂
 
Khee..!! @
Usinitafute tafadhali Sina muda na wewe unabadili ID Kisa hutaki kuona nipo humu nitakuwa humu penda usipende .. so wewe ni mwanamke ambaye hutaki wenzako wapewe comment nzuri, hupendi watu wataniwe , wafurahi humu kitakuuma mpaka ufee. Mie Kwa taarifa yako usinilazimishie niwe mwanaume kama wewe unataka kamfanye ndugu Yako wakike awe mwanaume halafu mwiite unique flower kila saa mtanitag mpaka ili mpate madanga akuu kufa na hali yako halafu kama hupendi amani mie na taka so kama maana mpo wengi hamnitaki huku mtaniona , mtanisikia hadii siku sitaki Tena kuingia humu na Wala
Kheee..!! Unique Flower kachafukwa
 
Ukinipiga makofi navaa naondoka nakuacha na minyege yako
Ni ngumu sna kutokea hiki unachosema hpa labda huyo utakayekuwa anakukaza awe hakuwezei (hakufarhishi) Raha ya hili tendo inakugeuza mtumwa tako litapigwa tu vbao na siku utakumbushia kuwa umemic vbao vya makalio
 
Sijui nyie mmeumbwaje jamani! Khaaaaa!

Hivi aliyewapa kibali wakati wa sex kutupiga makofi makalio yetu ni nani? Aliyewaambia wakati wa sex ni wakati wa kupigana makofi nani? Unakuta jitu hata kukufikisha halikufikishi kazi kukupiga makofi tu makalioni ili lionekane linaweza mambo kumbe hamna chochote.

Porn movies zimewaathiri wengi wenu, hivyo mnaiga kila kitu!

Mwanamke anataka kuridhishwa na siyo makofi.

Nadhani mmenielewa wanaume wote.
Tatizo na nyie wanawake mnakaaga kimya then mnamaliza ndo mnalalama. When you stay silent pia wao wanachukulia u like it. Mwambie hapo hapo and communicate what u like hapo hapo kw sex and what makes u tick sio kusubiri yeye afanye kila kitu
 
Khee..!! @

Kheee..!! Unique Flower kachafukwa
Kamdudu kameamka huko kwao kana hasira zake ananisumbua mara IT'S PLENTY nimekaa kimya mara dume sijui what halafu saivi SIPENDI AMANI kanafungua viushenzi vyake kanaongea shitt muda waote namwambiaje huyu ni kibibi Fulani lizee halitaki linione humu jf mtaniona tu ambaye hataki kuniona na afe
 
Back
Top Bottom