Wanaume acheni uchafu

Kwani hao wanaume mnakutanaga nao wapi?
hebu badirisha viwanja kwanza sio unatafuta vitoto vya chuo ufaidi bum mnakuja kulalamika huku
 
Aisee!!?
Ebu jichunguze Kwann unakutana na watu wa aina hio tu
 
Uwezo wako umeishia hapo kwa wanaume wachafu, kula kwa urefu wa kamba yako!
 
Wengi wenu ni wachafua ata boksa kufua shida boksa nyeusi fuweni nguo za ndani pia
 
Pole mjukuu wangu nadhani hujapata kusikia ule msemo wa "ndege wafananao...."
Hakuna kabisa kitu Kama hiko jaman mtu anashindwa ata kusafish p* kweli mpka zinanuka Kama uvundo wa pumba

Mdomo unatema harufu Kama chemba ya njoo cocastic toa ushahidi
 
Hakuna kabisa kitu Kama hiko jaman mtu anashindwa ata kusafish p* kweli mpka zinanuka Kama uvundo wa pumba

Mdomo unatema harufu Kama chemba ya njoo cocastic toa ushahidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo, si unaona wanavyoshushaa matusii, bas umewapiga kwenye mshonooo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo, si unaona wanavyoshushaa matusii, bas umewapiga kwenye mshonooo.
Wawe wasafi kidogo ukutane na mtu anajasho Kali alafu mdomo pia unanuka vibaya kiasi kwamba mtu wa kawaida anashindwa kuvumilia
 
Kwahiyo Mwanaume yeyote akiwa msafi unapita nae tu sio?
Jichunguze kwanza wewe,hao wachafu wanaokufuata huenda ndio level yako.
Aku swali ni kwanin? Hamtaki kuoga maji yali wakosea Nini?
 
Wasafishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…