Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao wanaume mnakutanaga nao wapi?Morning
Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua
Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani
Kazi njema jirekebisheni.
Morning
Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua
Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani
Kazi njema jirekebisheni.
saw nakuja pm kwako naona unawashwa unataka kupigwa pumbu
ngoja nije chap pm basHalafu mbona sisi rough ndio tunapendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo, si unaona wanavyoshushaa matusii, bas umewapiga kwenye mshonooo.Hakuna kabisa kitu Kama hiko jaman mtu anashindwa ata kusafish p* kweli mpka zinanuka Kama uvundo wa pumba
Mdomo unatema harufu Kama chemba ya njoo cocastic toa ushahidi
Wawe wasafi kidogo ukutane na mtu anajasho Kali alafu mdomo pia unanuka vibaya kiasi kwamba mtu wa kawaida anashindwa kuvumilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo, si unaona wanavyoshushaa matusii, bas umewapiga kwenye mshonooo.
'Mwajuma ndala ndefu'😁Kwendraaaa
Wasafishe.Morning
Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua.
Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani.
Kazi njema jirekebisheni.
yaap!,amejuaje km huwa wanajipulizia perfume bila kuoga km sio mume/waume zake?.Wanaume siyo wachafu,wewe sema mumeo ndiye mchafu!