Wanaume acheni uchafu

umenikumbusha ule msemo unasema... ndege wafananao huruka pamoja...siku zote kunguru hawezi kuruka na njiwa, kama ulifatwa na mtu wa hivyo inaonesha muonekano wako ulikuwa ni vitu vyake na hadhi yake. NYOTE MJIREKEBISHE.
Koma
 
Duh! Amekua mkali kidoho Huyu mtu..... Samahani kwa niaba ya huyo mwenzetu.. Ataelezwa mama ili ajirekebishe
 
Stress mbaya sana...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Threads kama hizi huwa nazisoma kwa sauti ya Amber Rutty au wale wadada wanaotaka mahari milioni 100...
 
Achana na hilo jianaume linalonuka,na hela zake liachie...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ