Wanaume ambao hamna wapenzi someni hapa

Wanaume ambao hamna wapenzi someni hapa

Weweee tema mate chini
Ni kweli. Mke mlokole kabisa tena wale walokole wenyewe hafai. Huyu anayemalizia hela zote kwa mchungaji? Huyu ambaye hawezi kukupa kwa staili nyingine mbali na kifo cha mende? Huyu ambaye anamheshimu na kumsikiliza mchungaji kuliko wewe mumewe? Ambaye kila siku ni mikesha kanisani?Cult member wa hivi wa nini sasa?
 
Dream wife wangu kwakweli sitaki awe mlokole,
hilo tu mimi linanitosha.
Bahati mbaya unakuja kuangukia kwa muumini wa mwamposa 😂😂😂😂 ndio utajua hii dunia haipo fair kabsa
 
Back
Top Bottom