Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Kwa kweli maana we are already tired aiseeMuwe mnatoa elimu pia kutufundisha jinsi ya kuachana sisi tuliooa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli maana we are already tired aiseeMuwe mnatoa elimu pia kutufundisha jinsi ya kuachana sisi tuliooa
Wee usiwasikilize hao mungu mwenyewe ndiye aliyeweka ndoa na ndoa ni tamu sana hasa kama mnamtanguliza mungu kwa kila jambo pamoja na kuiombea ili shetani asipate mlango wa kuingia na kuwavuruga.Muwe mnatoa elimu pia kutufundisha jinsi ya kuachana sisi tuliooa
hasa yule jamaa joka nyeusi siku ma feminist wakimjua watamla nyamaTo be honest JF kwa 80% imechangia mm kufuta kabisa mambo ya ndoa.
I am asking you, whaaat are you talking about???Wee usiwasikilize hao mungu mwenyewe ndiye aliyeweka ndoa na ndoa ni tamu sana hasa kama mnamtanguliza mungu kwa kila jambo pamoja na kuiombea ili shetani asipate mlango wa kuingia na kuwavuruga.