Wee usiwasikilize hao mungu mwenyewe ndiye aliyeweka ndoa na ndoa ni tamu sana hasa kama mnamtanguliza mungu kwa kila jambo pamoja na kuiombea ili shetani asipate mlango wa kuingia na kuwavuruga.