Kwani mkuu kazi ya mdomo si kusema?Kwani si ni watabiri au bwana njozi tujue kila wanachotaka au kukiitaji? Wasemeok unachopaswa kujua ni kuwa mahusiano ni maisha kiujumla na ni zaidi ya kwenda kidato au chuo. lkn kwanini hatupendi kujifunza tunaishia kuishi kimazoea eti kwa kuwa tunadindisha basi ndo tumemalza hatutaki kujifunza mengi zaidi khs mahusiano?
Kwa hiyo ukitembea na mtu ndo huwezi kumwacha ?ni kuvumilia upumbavu sababu ushatembea nae?Sio ukatili mkuu jamaa alishashinda jimbo huo ndio ukweli,,hakuna jipya hapo bora mvumiliane tu,,
Hata ukiamua kususa haisaidii maana siku zote utatembea na rojo yake aliyokumiminia,,,,
Ukweli mchungu
🤣🤣🤣 You made my night kwa kweli.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tena amwambie wachoyo hawaendi Mbinguni
Noted ,yaani Hilo halina pingamizi, Hadi kufikia kuandika uzi JF ni kwamba nimechoka.aHaki na kuambia muache tena muache live na umwambie ni mchoyo , mkono wa birika mfyuu
Eeh jamaa hana mzuka na manz ila demu anajifanya haoni kama mwana anamrusha vipindi makusudi![emoji38][emoji38] kashindwa kujiongeza anangoja apewe na hela, kiuhalisia jamaa anazingua ila anazingua kwa sababu hana malengo nae.
Af ukitoka hapo unaenda kujibebisha unapigwa mashine na kusahau majanga kwa muda. 🤣🤣🤣Noted ,yaani Hilo halina pingamizi, Hadi kufikia kuandika uzi JF ni kwamba nimechoka.a
Yaan huwezi amini, anakuaga na unaondoka Kama ulivyokuja, sijawahi ona hi, na akikuaga anakwambia ukifika nijulishe😊
Pole maeNoted ,yaani Hilo halina pingamizi, Hadi kufikia kuandika uzi JF ni kwamba nimechoka.a
Eeh jamaa hana mzuka na manz ila demu anajifanya haoni kama mwana anamrusha vipindi makusudi!
Kinachoniudhi ukiwanae anataka umshauri vitu kama viatu au nguo Kama ni nzuri anataka kuagiza,kwenye mtandao,na nivyagharama.hadi nachoka aisee
Ni
Nikamwambia akanambia nimechelewa kumuomba now anajenga
Sikutaja kiasi, ila nilimwambia siko vizuri kifedha ninashida na pesa ,jibu likawa ndiyo hiloUliomba pesa kiasi gani hadi aseme anajenga?
Note that kawaida yangu Sina tabia ya kuomba pesa, ata mahusiano yangu yalopita, lakini mwanaume hujiongeza na kujua mpenzi wangu ata Kama pesa anayo, nimuongezee kiasi mfano anaweza nunua vocha, au kuongeza kwenye matumizi yake yoyote .Kwa response hii duuh nakupa Disco Kama ushauri, aidha ulijionesha unajiweza sana kama sivyo jamaa anakuona wa kawaida sana hata ukijiondoa hataumia kbsa, ni vituko, je, na wewe hujawai tamani bidhaa za kike na ukaomba akununulie? Au unashobo nae sana kiasi kwamba umeliwa sana Sasa ndio akili imekujia ya wazi kuona kweli hupendwi unatumika tu, mind you ukijiondoa jamaa atakutaka tena maana wewe Ni wife material, sasa jipange kwa terms mpya.
Eeh jamaa hana mzuka na manz ila demu anajifanya haoni kama mwana anamrusha vipindi makusudi!
Note that kawaida yangu Sina tabia ya kuomba pesa, ata mahusiano yangu yalopita, lakini mwanaume hujiongeza na kujua mpenzi wangu ata Kama pesa anayo, nimuongezee kiasi mfano anaweza nunua vocha, au kuongeza kwenye matumizi yake yoyote .
Sasa hi ya huyu ni Mpyaa na imenishangazaa.
Sikutaja kiasi, ila nilimwambia siko vizuri kifedha ninashida na pesa ,jibu likawa ndiyo hilo
Yap jamaa Ana pesa , cheo na vyote ulivyosemaKwa majibu yako you look modern and a market appealing lady, na nafikiri huyo bf wako Ni mtu ana impact fulani hivi, cheo, pesa, influence na potential flani, just dig further Kuna kuwa na mpenzi na kuwa na mchumba.
Yap jamaa Ana pesa , cheo na vyote ulivyosema