Wanaume Badilikeni Wanawake wameharibika Siku hizi,sio zamani.

Wanaume Badilikeni Wanawake wameharibika Siku hizi,sio zamani.

Oyaa mzee baba umetokwa kupigwa tukio gani huko?
Next usiingie Kichwa Kichwa jaribu kuwa na akili kidogo maana hao viumbe hawanaga huruma kbsa.
 
Love hivi mwanamke aliyeharibika unamjuaje???

Naomba mwongozo pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!
Hakuna mwanamke aliyeharibika sweetheart...
Sababu the beauty of someone is in the eyes of another person...
 
ogopa mwanamke ambaye hana bwana/mume hana kazi unayoiona anafanya,kuna mmmoja lilimwelewa simu sasa....sijui za uongo ni jizi tu lile...nawahi kwenye kikao mimi ndio muhasibu....mara nawahi nyumbani mama ananipigia...siku nikamkomalia kaa hapo nashusha konyagi na bia mbona alishinda hapo hapo...alipotoka akaiba nakuiba... eti piss kali haina kazi...we hogopi?
 
Back
Top Bottom