Wanaume hivi mkoje? Mnaomba namba kila mtu, mnakera sana

Hilo lipicha lako , si unajiatangaza pia. Vaa vzr hata kwenye Avatar yako basi.
Kama kwenye Avatar ndio una vaa hivyo je Disko?
 
wennitumie no, hacha hizi ulijua ukinleta kunianika uku mi ndo ntaacha kukuomba? fala nini ebu nitumie no fasta kabla sjatoa siri za ndani ya Papucha yako! chezea lkidume chako cha zamani wee! ilifutika tu kwenye simu yenye orodha ya max wangu, kumbuka nilitaka nikuunge kwenye group la wasap la ma x wangu iliukutane na mamkwe wako wa sasa ujue ulikura mringoti mmoja na mama mkwe wako mama wa mmeo wa sasaiv
 
Teh teh..Nadhani labda hana uhakika na jinsia yake..Mchukulie vyote vyote tu
Teh teh itabidi tu hamna namna ,ila nikimchukulia vyote vyote italeta shida mahali ,mathalani kwa thread hii aliyoleta nikimchukulia ni mwanaume si atakua ndugu yake Pacedor ??
 

Nani akuombe namba Ajuza wewe.Hao hawajitambui.Wanawake wote mjini waliojaa tena wazuri kuliko wewe kibibi nani akuombe namba.Papuchi yenyewe ina sugu.Pwwaaaaaa.nasikia kichefuchefu hebu kaoge kwanza,usituharibie weekend.Pwaaaah.unanuka uchi.Pwaaaaah
 
sasa bila namba utafikaje jumba la dhahabu
 
Teh teh itabidi tu hamna namna ,ila nikimchukulia vyote vyote italeta shida mahali ,mathalani kwa thread hii aliyoleta nikimchukulia ni mwanaume si atakua ndugu yake Pacedor ??
Teh..Uanaume kazi..Naona yeye umemshinda..Basi acha tumchukulie tu kama mwanamke...
 
Wa Swahili hawakukosea kusema msemo huu "kibaya cha jiuza kizuri cha jitembeza" na mkaa bure si sawa na mtembeaji!! #acha kutafuta kiki ya kuobwa namba unasema hivyo ili watu wakuombe namba na ww:/:/
 
Pale dume zima na kende zake anapojidai mwanamke na kutunga mada.
Teh Teh Teh...
 
msipoombwa namba unataka tuzitolee wapi voda,tigo,airtel au halotel...?
 
Naomba namba yako ya simu ya mezani
 
Uwe na kumbukumbu kuna sehemu ulibananishwa na jamaa mmoja kwamba wewe ni mwanamke ukakataa na wakati huo kwenye profile yako status ilikua male ,sasa sijui umeshtuka nini ukaona bora uwe mwanamke
atakua jike dume
 
Mnaowafuata pm madada wa aina hii mnatushushia Hadhi.. Huyu mtu sio mgeni hapa bali ID yake ndio ngeni. kwa Avatar zake anazowekaga zinawaonyesha kuwa huyu ni mtu wa aina gani. Kuendelea kumpa kick huyu mtu ni kujishusha kwa nyie wenyewe. LAKINI KWA UPANDE MWINGINE NADHANI HILI NI TANGAZO KWA WATEJA SO CHANGAMKIENI FURSA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…