Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh..Nadhani labda hana uhakika na jinsia yake..Mchukulie vyote vyote tuUwe na kumbukumbu kuna sehemu ulibananishwa na jamaa mmoja kwamba wewe ni mwanamke ukakataa na wakati huo kwenye profile yako status ilikua male ,sasa sijui umeshtuka nini ukaona bora uwe mwanamke
Lazima itakuwa hivyo tuAtakuwa na Phd ya marketing[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh teh itabidi tu hamna namna ,ila nikimchukulia vyote vyote italeta shida mahali ,mathalani kwa thread hii aliyoleta nikimchukulia ni mwanaume si atakua ndugu yake Pacedor ??Teh teh..Nadhani labda hana uhakika na jinsia yake..Mchukulie vyote vyote tu
Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!
Teh..Uanaume kazi..Naona yeye umemshinda..Basi acha tumchukulie tu kama mwanamke...Teh teh itabidi tu hamna namna ,ila nikimchukulia vyote vyote italeta shida mahali ,mathalani kwa thread hii aliyoleta nikimchukulia ni mwanaume si atakua ndugu yake Pacedor ??
Kwanza hiyo namba ni yake aliitunga yeye au kanunua tu line?Kwani hiyo namba yako inauzalishaji wa Fedha? au INA nini mpaka uibanie kiasi hicho?
Teh sawa Kaboom wacha tumchukulie hivyo tu ,Teh..Uanaume kazi..Naona yeye umemshinda..Basi acha tumchukulie tu kama mwanamke...
Naomba namba yako ya simu ya mezaniYaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!
atakua jike dumeUwe na kumbukumbu kuna sehemu ulibananishwa na jamaa mmoja kwamba wewe ni mwanamke ukakataa na wakati huo kwenye profile yako status ilikua male ,sasa sijui umeshtuka nini ukaona bora uwe mwanamke