Wanaume hivi mkoje? Mnaomba namba kila mtu, mnakera sana

DUUUUH POLE SANA KUMBE NA WADADA NAO KUNA WASIOJIAMINI....
NIKAJUA WANADATE NA WEWE KUMBE NI KUOMBA no TUU..
NADHANI INGEKUWA NI OPPORTUNITY KWAKO KUPATA MARAFIKI MAANA NAAMINI HAO WOTE WANAPROFESSION ZAO
 
Acha kutulaumu jichunguzeni kwanza nyinyi wanawake mambo mengine mnatushawishi sisi wanaume kuyafanya mfano mdogo tu hiyo avatar yako ulioweka kwa mwanaume rijali lazima akuombe namba umejianika nusu uchi afu unataka nisiombe namba nile kwa macho hapana
 
Haya tumeshajua kuwa unasumbuliwa na wanaume kimapenzi, lakini kick nyingine za kujitaftia hapa mjini hazina faida kwako 47pro
 
Uliowapa mbona hujawataja, ila unaowanyima ndo unwasema vibaya. Tabia mbaya hiyo. Acha ubaguzi
 
Acha kutoa.
 
Namba unazitoa mwenyewe hadi zimekujazia phonebook alafu unakuja kutuzugia humu.......

Inaonekana hujazoea binti ila ukizoea utaona kawaida tu na pia watukane au wakaushie ili ukinyaushiwa NA wanaume, uje tena kutuuliza UNA KASORO GANI ????????.......
 
Ila ukija kunipiga kibomu/kizinga uwe mpooole No number No transaction No love...sawa eee
 
Nanako inamba yao eyaisimu mai nakwenda muno! Mungu akachisakila unaneko ebhimbwa! Hahahaaa!
 
Sasa unawanyima kwa sababu zipi?basi usiitumie unadhani watakosa kwingine au yakwako ina thamani sana?
 
sema tu unalazimisha kutongozwa.haya nakupenda naomba namba yako
 
Wenzio wanapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…