Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #181
Haya pitaaLipi zuri kwako?..me naingilia kokote
HehehehehUkitawanyaa atakuona Tena Unapenda kitonga bora ufunge roho yaishe
[emoji23][emoji28][emoji23] hahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Kama unaona wivu mimi kudanga tudange wote basi.
Bro nataka kuokokaCalm down mtoa post. Embu kunywa maji kwanza coz umekuja res kama ulikuwa unafukuzwa na simba.
Haya kujib mada yako ni hiv, unavyoita wanaume malaya, je ww ?
Umalaya hauna jinsia, umalaya ni hulka ya mtu binafs, na si hulka ya jinsia flani, so kama mumeo au ww mwenyewe wote ni mnatamaa za kijinga and yes always mtakuwa hivyo hivyo.
Kama umeolewa tumia busara, ungemuita mumeo pemben umwambie, sio unakuja lalamika jf.
Ni dhambi kuishi bila jinsia pinzani. Kama chini pako vizuri halafu unainyima haki yake unafanya kosa sana. Tafadhali kama huna hebu njoo nikustiri had pale utakapompata[emoji23][emoji23][emoji23]Mm Sna mpenzi Kero Sitaki tena saiv napambana na hali yangu
Ni kosa la kiufundi kumleta mwanamke kwa masela wakati hujamaliza.Mama Sab ukweli wa leo mchungu sana, ila sisi wanaume tunakuwaga wajanja siwezi nikakuita sehemu alafu rafk zangu wako peke yao no way,
na kama bado nakutongoza ndo kabisaa siwezi kukuktanisha na mshkaji...wanaume ss ni maFisi tu,
tena mshkaj akijua ndo nakufukuzia na hujaeleweka bado anaweza kuniambia nikupotezee kumbe anakuvizia yeye hahaha
Mmh hapa umewakilisha hulka ya watu wengi sana walivyoKuna kaka mmoja ananipendaga miaka na miaka. Ana kundi lake wanacheza mpira kila jumapili. Sasa siku akanialika uwanjani. Kufika jamani. Picha linaanza kaja kunichukua na Carina. Kufika uwanjani marafiki zake sasa. Sijui huyu anafanya wapi mara yule wapi na yeye ni mwalimu unaona range benz harrier etc. Vitu vizuri vizuri tu. Wanavyovyaa. Wanavyonukia. Hapo kawaambia mimi demu wake jamani. Kundi lina wakaka wazuri na wa maana sema ndo vile hamna mwenye nguvu ya kunitaka wanamuogopa mwenzao. Na nilishawaambia sio bwana angu ila wao hawaelewi. Kuna mmoja yuko voda nina crush nae hadi kesho. Siku nimekutana nae TIPS akaniita shemeji nusu nimtukane basi tu sikua nimelewa ananiitaje shemeji wakati nampenda.
Eeehe wanaume mna tabia hiyo sana tu ,,bora we umekubali wenzako wanatusonya hapa wakati ukweli kabisaMama Sab ukweli wa leo mchungu sana, ila sisi wanaume tunakuwaga wajanja siwezi nikakuita sehemu alafu rafk zangu wako peke yao no way,
na kama bado nakutongoza ndo kabisaa siwezi kukuktanisha na mshkaji...wanaume ss ni maFisi tu,
tena mshkaj akijua ndo nakufukuzia na hujaeleweka bado anaweza kuniambia nikupotezee kumbe anakuvizia yeye hahaha
Ahahhahahahaha hapo ndio huwa tunabadili giaNi kosa la kiufundi kumleta mwanamke kwa masela wakati hujamaliza.
Eti Miller vipii bana ,,mtuache sie tushashindikiana kitambo tu[emoji23][emoji28][emoji23] aiseee
AsanteeeeVizuri sana..
Saivi sna kabisa hisia za mapenzi yan utadhani ng'ombe aliyehanisiwaNi dhambi kuishi bila jinsia pinzani. Kama chini pako vizuri halafu unainyima haki yake unafanya kosa sana. Tafadhali kama huna hebu njoo nikustiri had pale utakapompata[emoji23][emoji23][emoji23]
Umetendwa sana ama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saivi sna kabisa hisia za mapenzi yan utadhani ng'ombe aliyehanisiwa
Warembo kama hawa unachaje kula mzigo kama yeye mwenyewe anataka umupe mambo.Kuna kaka mmoja ananipendaga miaka na miaka. Ana kundi lake wanacheza mpira kila jumapili. Sasa siku akanialika uwanjani. Kufika jamani. Picha linaanza kaja kunichukua na Carina. Kufika uwanjani marafiki zake sasa. Sijui huyu anafanya wapi mara yule wapi na yeye ni mwalimu unaona range benz harrier etc. Vitu vizuri vizuri tu. Wanavyovyaa. Wanavyonukia. Hapo kawaambia mimi demu wake jamani. Kundi lina wakaka wazuri na wa maana sema ndo vile hamna mwenye nguvu ya kunitaka wanamuogopa mwenzao. Na nilishawaambia sio bwana angu ila wao hawaelewi. Kuna mmoja yuko voda nina crush nae hadi kesho. Siku nimekutana nae TIPS akaniita shemeji nusu nimtukane basi tu sikua nimelewa ananiitaje shemeji wakati nampenda.
hiyo ipo tu chief, lazima kuna company yako flan itakuzidi kitu na ndio mafanikio yanapokuja hapo...huwezi kuwa na marafik wooote ww ndio umewazidi kila kitu itakua ni ujinga japo lazia wawepo baadhi,Kuna siku rafiki yangu mmoja aliniambia twende national park moja friday to sunday. Yeye alishauambia mchepuko wake, mimi kucheki huku na huku nikaamua nimchukue my on-off chick.
Huyo rafiki yangu hela anazo nyingi sana ni wale type ukimuona tu unajua yuko vizuri sana. Jamani demu wangu tulimpitia sehemu nilivyomu-introduce kwa jamaa aisee hakuweza kuficha admiration yake kwa jamaa, kwa sababu niko smart nilisoma mchezo. Tulivyorudi ndio ilikuwa mwisho wangu na yeye for good.
Wengine tuna bahati mbaya au sijui niseme nzuri marafiki zetu wametuzidi hela ila tunaheshimiana.
Kwa tamaa na akili hizi sina hakika kama unawakumbuka wanaume ambao umeshalala nao.
[emoji122][emoji122][emoji122]Eeeeeh. Ila mi nina adabu sana. Hata nikikaa na marafiki wa bwana na marafiki zake wana hela ndefu wakinitongoza wala siwakubalii naona wananichukulia kama malaya. Bora nitembee na mtu huko lakini sio cycle ya mwanaume wangu.
Mimi najuaga ninachokitaka hivyo sibani kabisa.Warembo kama hawa unachaje kula mzigo kama yeye mwenyewe anataka umupe mambo.