Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Kweli unaweza rudisha hisia za mapenzi zilizopotea Ww au unataka kunikwich tu sababu nimeshakuwa sealed full temperature
Kweli wahenga walinena ' kung'wimbila nchibha kumala membo'

Maana yake, kumwimbia kiziwi utamaliza nyimbo zote hakuelewi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujawahi badili gia angani?
Kuna mdada huyo alikuwa na shogaake mkali kumzidi. Siku alipoenda naye kwa mchumba wake, jamaa mate yakamtoka kuona shogake kumbe ndo bomba zaidi, si akabadili gia angani akawa sasa anatoka na bibie hadi ndoa kabisaa. Bidada akaachwa kama masihara vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…