Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Hahahaaaa bili ikija anatoa majicho kama mjusi aliyebanwa na mlango......
Kwani hata anatoa macho? Unamuona tu anazuga anaongea na simu mara kaenda mara karudi kumbe hana 100 mfukoni.
 
Ahahahahah bora awe malaya halaf alipe bill,,yeye malaya halaf halipi wa ninii sasa
 
Hii mishe haijawahi nitokea,ila Mimi inanikera Naenda sehemu Na mtu halafu kuna kijitu wanajiitaga wapambe,yaani ye anamjaza misifa tu ili ale,anywe... ***** nawa mind mijitu ya hivo.
Hahahaaa. Ukiwa na mimi hela za kuwapa wapambe hazipo. Kwanza hata kununulia watu mipombe ya bei staki. Unanunua round moja baasi. La sivyo nakunyanyua tuondoke unachezea hela na mie ntapata nini sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…