Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Hah! Sasa nitawaoa wote nyie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38] Acheni utani kwenye vitu serious.
Ni hivi kwanza ukituoa sisi hakuna ataekugusa mme wetu tunachamba siee wakikuona wanaokusumbua madeni sijui nini wakitufikiria tu lazima wakae mbali,,atakaethubutu kukusema mme wa mama sabrina na mzigua ana mchepuko atajutaa tunamvalia vijola sare kpna make up juu tunamfata hakuna atakaechongoa mdomo kukuzungumzia vibaya tunalinda status,huoni faida,kupika tunajua,mapenzi ndio usiseme wataka raha gani ,ila tu usituvuruge maana tutakuchongolea mdomo humo ndani mpaka uzimie
 
Wewe dada vipi mbona unafundisha watu uoga, yaani nishindwe kukaa na demu wako mahala mazuri eti kisa kuna mtu amejipulizia perfume au sijui amevaa vizuri kuliko mimi,

Huo ni ujinga na kutojiamini kabisa , kama wewe ni demu wangu nakuita popote na tinga na wewe bila kujali eti pale kuna wanaume wenye sura nzuri kuliko mimi au laaah
 
Halaf acha kiburi ukipinduliwa usijelia MMU maana wanaume mnaongoza kutuliliaa kweli
 
Hahahaha mimi anunue tu za kunipa atajua atakapozitoa kama sijaondoka na ufunguo wa gari haa
Mimi sitaki huo ujinga. Tia heshima sipo. Eti nipo unalipia bill wanaume wenzio laki 4 sijui 5 weee. Ntakupa maneno hadi akili ikukae sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…