Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Hakuna tatizo, mnakamilisha History yenu tu. Kwani hukumbuki hata kwny bustani ya Eden, mwanamke ndo aliyemsaliti mwanaume..?? So always mwanamke huwa ndio chanzo...!!! Wanaume tunawapenda sn nyie, ila nyie ndo mnatuvuruga..!!
Kwahiyi mkuu nyie waaminifu sana huwa hamtuvurugi eeh?
 
Hahahaaaaaa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Labda mzingue nyie, mie sio mzinguaji, itakuwa safi sana maana kuna watu kazi kusema ya wenzao, ya kwao hawayasemi.
 
Huko ndo kujiamini kaka.
 
Tatizo lenu nyie ni moja tu: Mwanaume naweza kuwa na mademu hata 20, ila sitaruhusu wala kusema chochote kibaya khs mke wng, na wala sitamsahau mke wng. Nitawachukulia hao wengine kama vicheche tu. Ila nyie mkichepuka bana daaaah, hata kma nna kibamia utatangaza. Na lazima utaanza dharau nyumbani. Huwa mnashindwa kabisa kucontrol hisia zenu. Ndo maana ni rahisi sn kuhisi mkeo anachepuka. Noma sn aisee.
 
Na ninavyotafuta mke kama sio wake, itakuwa poa sana kupata watu walopevuka kama nyie, najua hakutakuwa ngumi ni full diplomacy.
Sie hata ukiongeza mke wa tatu sawa ili mradi mnara usome 4g na ushike mikoa yote hakuna kuzima zima,ukitaka tujumuike wote room moja hatuna hiyaa tunabadili ladha kila mmoja anashika kiungo chake na kupeana zamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…