Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #561
Asante mme,ndoa tutafungia MMUUsiku mwema mke.
Atapata tu haki yake[emoji7][emoji7][emoji7]Binti akikamatia ubo.oo huyu hatoki jamani ,bora mimi huyuu ptuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16] Anakuletea ugomvi wakati bahati ni yako.Umesema ugomvi nimekumbuka rafiki yangu alinikasirikia kisa kuna kaka alikua ananitaka mimi simtaki na kumbe rafiki angu kamuelewa huyo kaka. Sasa yule kaka alivyoondoka sijui nilifanga nini. Jamani rafiki angu alinisema mpaka tukagombana ugomvi mkubwa. Kesho yake ndo akaniambia alikua na hasira na mimi kwanini yule kaka ananitaka mimi na sio yeye.
Mhhhh.... Mnajuana eeh?Binti akikamatia ubo.oo huyu hatoki jamani ,bora mimi huyuu ptuuu
Nakuja mkuu.njoo nikuoe mimi
Haa ha ha...noma sanaa!!Umesema ugomvi nimekumbuka rafiki yangu alinikasirikia kisa kuna kaka alikua ananitaka mimi simtaki na kumbe rafiki angu kamuelewa huyo kaka. Sasa yule kaka alivyoondoka sijui nilifanga nini. Jamani rafiki angu alinisema mpaka tukagombana ugomvi mkubwa. Kesho yake ndo akaniambia alikua na hasira na mimi kwanini yule kaka ananitaka mimi na sio yeye.
Kweli tupu umeongea, kama uko hivyo naamini tutafika mbali, maana mimi mwenyewe namheshimu sana mwanamke mwenye heshim.Naheshimu mapenzi mimi. Naamini hela zinatafutwa zinapatikana ila kupata true love sio jambo dogo.
Nakuja mkuu.njoo nikuoe mimi
True love bila pesaa mwanaume unaonekana Muongoooo...!!Naheshimu mapenzi mimi. Naamini hela zinatafutwa zinapatikana ila kupata true love sio jambo dogo.
Kwa nini?Tulioishia Darasa la 5B tuna shida sana!
Mie mhenga nakuaje mrembo?Kwani wewe sio mrembo?
Daaah. Hata unaempenda mkuu?Uzuri wng mim huwa cpend mwanaume mwenzangu akose,ndomaana naweza nikagonga dem then nikampitisha kwa masela kibao ili awataman wamgonge then tusimuliane hahaha
NB. Mim mambo ya kuoa ndo cwez
Utaolewa na wangapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Njoo kwangu nilisha******a sana.Nakuja mkuu.
Mimi na wewe tutafika mbali mbona.Kweli tupu umeongea, kama uko hivyo naamini tutafika mbali, maana mimi mwenyewe namheshimu sana mwanamke mwenye heshim.
Sana.Mimi na wewe tutafika mbali mbona.
Hamna. Bahati mbaya sijawahi kupenda mwanaume asie na hata kumi. Wanakuaga na hela ya kawaida tu inayotutosha.True love bila pesaa mwanaume unaonekana Muongoooo...!!
Nilishasahau bby [emoji2]Utaolewa na wangapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Njoo kwangu nilisha******a sana.
Tena?Nilishasahau bby [emoji2]