Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Kuwa na watoto siyo lazima kuoa/kuolewa.
I know. Utataka mwanamke unaezaa nae alee watoto peke ake kwa sababu tu huwezi kupenda? Na nini sababu ya kuzaa na mtu wakati unajua neno mapenzi halipo kwako. Unawaza ukiwa mzee nani atakuhudumia?
Kwanza una miaka mingapi?
 
Nadhani aliwatambulisha marafiki zake kuwa wew ndio kipenz chake..ndio maana wakakuheshimu kama Shemeji yao.
 
Nadhani aliwatambulisha marafiki zake kuwa wew ndio kipenz chake..ndio maana wakakuheshimu kama Shemeji yao.
Ndio. Aliwaambia hajaoa mpaka muda huo kwa ajili yangu. Daah. Aliniharibia kweli.
 
Hili hata mimi mara nyingi limenitokea, sasa kudhibiti hii issue ninzuga sana na kuondoka eneo hilo na kuto onana kwa muda mrefu na huyo mwanamke. Huwa ni ugomvi wanawake wanaanzisha visababu vya hovyo ili akupate wewe.
..Ni kweli kabisa Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…