Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanawake wenye mawazo kama ya mtoa mada huku kwetu wanafanywa sana...

Nimekumbuka kauli ya ukiwa mzuri bila kuwa na akili basi sehemu zako za siri zitaumia sana
Sasa unataka tusiliwe ili iweje hebu acha wenzio tuliwe
 
Inaniuma sana. Bora angekua hata bwana angu ila ndo kanizibia bahati ya mabwana wazuri halafu footballers.
Mi ndio maana huwa sitaki unakuta hata mtu umekutana nae tu njian anataka akusindikize unapoenda ,,watu wanahisi labda huyu bwana ake au mmewe ,sipendi kabisa
 
Back
Top Bottom