Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Eeeeeh. Ila mi nina adabu sana. Hata nikikaa na marafiki wa bwana na marafiki zake wana hela ndefu wakinitongoza wala siwakubalii naona wananichukulia kama malaya. Bora nitembee na mtu huko lakini sio cycle ya mwanaume wangu.
Sasa yule wa voda je[emoji23] [emoji23]
 
Ndio. Aliwaambia hajaoa mpaka muda huo kwa ajili yangu. Daah. Aliniharibia kweli.
Mi nikajua utakuwa ulifurahi kutambulishwa kwa mashemeji, kumbe tena alikuharibia!!? [emoji3] [emoji3]
 
Ndo maana nakula na kusepa kabla MTU hajaniweka kwenye mizani ya uzuri!
 
Na demu wako akifikia hatua hiyo hakupendi. Hizo tunakuaga nazo kwa wanaume tusowapenda. Kama nakupenda hata waje watu wana nini nitaadmire sawa ila siwez mtamani huyo mwanaume.
UKIAMKA NAOMBA UELEZEE HII POINT YAKO VIZURI
 
Aina ya wadudu kama wewe ni hatari sana kwa familia mpaka nchi..haujitambui kabisa yaan kama jalala..empty set
Watu kama mleta huu Uzi wanakwamisha harakati zetu za kuiletea tz maendeleo ya kununua madiwani
 
hapa dawa ni kuagiza zile range za kichina babake unajua nina helaa kumbe bei ya bebiwoka
 
Mama Sabrina again!!!!!
Ni hivi unakuta umeitwa na mpenzi wako sehemu au mahala fulani halaf ,tatizo sio kukuita hiyo sehemu hapana,tatizo ni watu uliowakuta na mpenzi wako hapo,yaan kakaa na watu wamemzidi kipato,wamemzidi uzuri wananukia kuzidi yeye,,hivi hamfikiriii bora muwe mnatuita mkiwa mmekaa wenyewe tu,sio tabia nzuri unaniita Mama Sabrina njoo hapa Catalunya ,huyo nami nakuja nakukuta umekaa na wakaka wazuri kukuzidi wewe hivi unategemea nini??
Unadhan mimi sina moyo au wanawake hatuna moyo?tunayo sana tena inachuruzika midamu tu,mnadhan sisi hatutamani?tunatamani sana sema huwa tunajikaza kweli.

Angalia watu uliokaa nao ndio umuite mwenzio sio baadae mapinduzi ya mechi yatokee tulaumiane,,hata sisi wanawake huwezi kuwa unaenda kwa mpenzi wako unaongozana na wanawake wazuri kukuzidi wewe nenda na wabaya wabaya au wa kawaida ama nenda peke yako,,tena bora sisi huvumilia wanaume hamna haya nyie malaya wakubwa unakuwa umemletea mboga kabisa unashangaa tu mnaanza ugomvi na shoga kumbe ashaonjeshwa utamu game limemkolea,,na kuna wakaka wanajua kweli kunogesha wanawake kunako majambozi,,tuhurumieni nasi huwa tunazidiwa

Unakuta mwanaume anakutongoza jamanii anakuita sehemu ndio mnajuana sasa yaan unakuta kazungukwa na wakaka yaan unaanza kujuta ,na kama hujamkubalia inabidi ujipoze moyo,hii tabia inakera sana ,sisi wanawake tunapenda wanaume zetu wawe juu,basi ukute sasa anazidiwa na akili basi ndio unamuacha kabisa,,uwe umezidiwa lakin uwe smart sanaa,lakin mjinga mjinga tunakuwaacha.
binadam tumezidiana madaraja kila sehemu ukweli mchungu huu,
Mfano nataka mnielewe zaidi ili mkimwaga mapovu muwe mmeelewa ee mfano anakutaka hamornize ,,siku unaenda onana na hamornize unamkuta yupo na docta ulimwengu hivi kweli ni akili au matope unakaaje na mwanaume mzuri vile halaf mi nikukubalie mfffyuuuuu,mnatutia majaribuni halaf ukute mahusiano na huyo mwanaume hayana mbele wala nyuma kwanini usifurahishe nafsi
Haya mambo yanatokea sana tu

Hakikisha unakutana na mpenzi wako mwenyewe,,hakikisha upo smart umewazidi kitu flan rafiki zako ndio unamuita mpenzi wako
Tumeelewana???? Haya tiririkeni
ndio maana na sie tukiwapiga mara moja tunatembea. mko wengi tu wala usijari. tunawatumia kama njugu tu. wewe endelea kuchagua. watakudomyoa makabila yote. na ukimwi tunakuachia
 
Aina ya wadudu kama wewe ni hatari sana kwa familia mpaka nchi..haujitambui kabisa yaan kama jalala..empty set
Mdudu nimama na baba wako ,ambao wanaishi maisha yaokua ya kibinadamu ..mama yako anajiuza ,baba yako pia analiwa tigo
 
Kuna aina ya species kama ya mleta mada unaweza kifikiri ni mende aliye pitia evolution akawa mwanadamu..rubbish kabisa
Wewe ni species ya wapi??? Ikiwa umezaliwa ufukaran ,mbaya zaidi Mama yako anagongwaaaa na baba yako analiwa Tigo ,, wewe utakuaje ??.

Sindo mtu akikuchekesha tu ,tayar anakushikisha ukuta???.
 
huu umalaya tu huna lolote utatamani mpk lini behave miss
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Unayumba sasa Mwajuma [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unatafuta huruma ya watu au kujipendekeza kujibia watu ili iweje??

Nimekuambia tukana tusi jipya sio ivo vichambo vya uswahilini kwa mama yako. Zao la machoko ww!!
Wewe nakuambia kuanzia Baba yako (shoga) njooo kwa mama yako (Muuzaji Wa Tigo ) +wee Mchele uloaamua kurithi kazi za wazazi wako ,, wote nimafukaraa ,bila mikunduu hamuishi
 
Leo connor kapatikana hadi anaweka viemoj vya kuchekaa sio kawaida yake kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom