Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu?


Mfalme wa amani ainuliwe,
Mmmmm, huu ukweli huuuu unakaribia kuuma sasa!!

Akipasua chupa, unamkata kwene mshahara!!
Akikosea kidogo anafokewa kama mbwa!!

Ukiamua humpi mshahara wake!!
Duuu, hali chakula mezani na wanafamilia.
Haruhusiwi kukaa sebuleni, na akikaa anakaa chini, hatakiwi kukaa kwene sofa.

Mmmmm, akipata kaupenyo kwa father house, lazima akugonge tu mother house kwa style hio.
 
asee ninyi wakina mama kuweni na roho za kibinadamu kabla sijapasua hichi kikompyuta cha kipemba.....!

nikiripoti kutoka CHEJU.....

mimi ni TEAMO ''mfalme wa amani''


KWAHERINI YA KUONANA

Teamo nakubaliana na mengi uliyoongea ambayo kama kina mama dada tunapata point
Lakini swala hapa sio mshahara mdogo,tunawafanya Dry cleaner
Na mambo mengi kadha wa kadha
Lakini je Solution ya kumsaidia huyu Binti ndio kuanza kummiliki ( kubanjua amri ya sita na kisha kumpa matumizi madogo madogo na si kuongea na mama mwenyeji nyumba kutafuta suluhisho la kumsaidia) ???
 
hivi paja la hausigeli na la mama mwenye nyumba lina tofauti.

Mkwe naomba nisilijibu swali lako kama angeuliza Asprin ,Teamo au ST.RR ningejitahidi
ila wewe mkwe wangu nitakutumia Bank details utume matumizi ya mwezi huu.
thanx in advance
 
Km ma-house girl ni kero basi wajaribu ma-house boy ila watumie Airtel maana kale kamtandao pia kamewaliza wengi.
 
Asprin kwa hisani ya watu wa Marekani hapa sitakujibu
thankiyuuuuuuuuuuuuu

Sasa usiponijibu na kuyatenda nikushauriyo, huoni kuwa Mr. wako ataendelea kubanjuka na hausigelo?
 
Mkwe naomba nisilijibu swali lako kama angeuliza Asprin ,Teamo au ST.RR ningejitahidi
ila wewe mkwe wangu nitakutumia Bank details utume matumizi ya mwezi huu.
thanx in advance

The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Jamani jamani..................... I am speachless!
God Help us
 
Pearl keshajibu yote.Matatizo mwayasababisha wenyewe.sasa kama naona binti kifua(milk standing up,me is good) weee uso unangaa alafu wewe mama mwenye nyumba unanletea nyodo,unakunja uso,kelele kibao penzi la mgawo kwanini nisile nyumbani hapo hapo?????? tena bila gharama kubwa??
 
Kwa house-ladies wote

Inaonekana mpo juu sana - Endeleeni hivyo hivyo maana mnatoa changamoto kubwa sana kwenye ndoa - Mnawafanya wake zetu wakae sawa sawa - Big Up sana HGies!!!

FirstLady1 unaweza ku-print hii na kumpelekea HG wako tafadhali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…