Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu?

Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu?

''halafu ninyi ''wakina mama wenye nyumba'' wengi wenu mnakuwa na ''roho mbaya'' sana,ndo maana wanaume tunaaaaa....

MFANO:

unamfanya hg ''draiklina''

unamfanya kuwa ''gas cooker''

unamfanya ''vacuum klina'' pia

anakuangalizia mtoto (hii ndo the most sensitive part)

anakaa na mtoto for eight hrs we uko kazini (hapa ni death and life question),na

anamlisha mtoto vizuri

wewe upo ofisini unapiga store tu

halafu ukirudi ''umechoka'' wakati yeye anakuwa na ''nguvu zake 99''

HALAFU KIBAYA ZAIDI SASA,UNATAKA UMLIPE SH 25,000 KWA MWEZI.......!

EBO...!
ARE YOU PEOPLE SERIOUS?

Mfalme wa amani ainuliwe,
Mmmmm, huu ukweli huuuu unakaribia kuuma sasa!!

Akipasua chupa, unamkata kwene mshahara!!
Akikosea kidogo anafokewa kama mbwa!!

Ukiamua humpi mshahara wake!!
Duuu, hali chakula mezani na wanafamilia.
Haruhusiwi kukaa sebuleni, na akikaa anakaa chini, hatakiwi kukaa kwene sofa.

Mmmmm, akipata kaupenyo kwa father house, lazima akugonge tu mother house kwa style hio.
 
asee ninyi wakina mama kuweni na roho za kibinadamu kabla sijapasua hichi kikompyuta cha kipemba.....!

nikiripoti kutoka CHEJU.....

mimi ni TEAMO ''mfalme wa amani''


KWAHERINI YA KUONANA

Teamo nakubaliana na mengi uliyoongea ambayo kama kina mama dada tunapata point
Lakini swala hapa sio mshahara mdogo,tunawafanya Dry cleaner
Na mambo mengi kadha wa kadha
Lakini je Solution ya kumsaidia huyu Binti ndio kuanza kummiliki ( kubanjua amri ya sita na kisha kumpa matumizi madogo madogo na si kuongea na mama mwenyeji nyumba kutafuta suluhisho la kumsaidia) ???
 
hivi paja la hausigeli na la mama mwenye nyumba lina tofauti.

Mkwe naomba nisilijibu swali lako kama angeuliza Asprin ,Teamo au ST.RR ningejitahidi
ila wewe mkwe wangu nitakutumia Bank details utume matumizi ya mwezi huu.
thanx in advance
 
Km ma-house girl ni kero basi wajaribu ma-house boy ila watumie Airtel maana kale kamtandao pia kamewaliza wengi.
 
Mkwe naomba nisilijibu swali lako kama angeuliza Asprin ,Teamo au ST.RR ningejitahidi
ila wewe mkwe wangu nitakutumia Bank details utume matumizi ya mwezi huu.
thanx in advance

The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Jamani jamani..................... I am speachless!
God Help us
 
wakati mwingine sisi wenyewe kina mama tunachangia sana,mama anashindwa kumwandalia mumewe chakula,kufua na kupiga basi,kusafisha viatu ,kukata kucha,kumuandalia matunda,maji ya kuoga yooooote hayo yanafanywa na msichana sasa hapo kaolewa nani/msichana au huyo mama feki?mwanaume ni kama mtoto utakavyompeti peti pamoja na udhaifu wake lkn bado atakuheshim tu maana ww ni mama yake wapili katika malezi,mwanammke kuanzia j3 mpaka j2 uko busy tu hujui hata mumeo kala nn kashindaje utasema umekuwa dei worker wa daladala?tunajua majukum tuliyonayo ni mengi lkn tunapaswa kuwa na mda na familia zetu jamani tuachane na utandawazi na uzungu mwingi tukumbuke mila zetu na kutunza familia zetu,am out!
Pearl keshajibu yote.Matatizo mwayasababisha wenyewe.sasa kama naona binti kifua(milk standing up,me is good) weee uso unangaa alafu wewe mama mwenye nyumba unanletea nyodo,unakunja uso,kelele kibao penzi la mgawo kwanini nisile nyumbani hapo hapo?????? tena bila gharama kubwa??
 
Kwa house-ladies wote

Inaonekana mpo juu sana - Endeleeni hivyo hivyo maana mnatoa changamoto kubwa sana kwenye ndoa - Mnawafanya wake zetu wakae sawa sawa - Big Up sana HGies!!!

FirstLady1 unaweza ku-print hii na kumpelekea HG wako tafadhali?
 
Back
Top Bottom