SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
- Thread starter
- #61
Nasikia mnamadharau eti unandegeWaseme hao, sisi tumekukosea nn bibie
Nasikia mnamadharau eti unandegeWaseme hao, sisi tumekukosea nn bibie
Ndege bado, ila nauli ya ndege nakulipia.Una ndege??
Ndege ya kwenda wapiNdege bado, ila nauli ya ndege nakulipia.
Daresalama kuja Mbeya.Ndege ya kwenda wapi
ndege mnyama au?Nasikia mnamadharau eti unandege
Mwaya nataka atleast mtu wahivi na huku hakuna.Daresalama kuja Mbeya.
Hapana ndege private jetndege mnyama au?
😂😂😂😂 jamaniiii.Ndioo hadi vochaa , pesa elfu 35 , mwingine hela ya lunch , na mwingine aliniambia nimlipie kodi ya miezi 3
😂😂😂😂Marry Diana siunaona wanavyoniogopa hawakoment kisa wanajua sina simile
Ya nini yote hayo, mimi sina kampuni, ila hela ya kutumia hadi unakimbia ipo.Mwaya nataka atleast mtu wahivi na huku hakuna.
1. Awe anakampuni 2 nakuendelea kubwa ambao anaajiri wafanyakazi mia nakuendelea anauwezo wakutengeneza bima zao nakuwalipia bila wasiwasi.
2. Awe anamagari yakisasa 3 nakuendelea
3. Awe nauwezo wakulipia tiketi yakwenda popote duniani
4.awe anasura ya kuzalia watoto
5. Asiwe mchungu
7. Asinitegemee
8. Mapenzi sio dili pesa ndio mpango mzima
9. Awe na nyumba kubwa zakisasa
Mkuu weka picha ya kuzalia watoto basi tujipime.Mwaya nataka atleast mtu wahivi na huku hakuna.
1. Awe anakampuni 2 nakuendelea kubwa ambao anaajiri wafanyakazi mia nakuendelea anauwezo wakutengeneza bima zao nakuwalipia bila wasiwasi.
2. Awe anamagari yakisasa 3 nakuendelea
3. Awe nauwezo wakulipia tiketi yakwenda popote duniani
4.awe anasura ya kuzalia watoto
5. Asiwe mchungu
7. Asinitegemee
8. Mapenzi sio dili pesa ndio mpango mzima
9. Awe na nyumba kubwa zakisasa
duuh hyo sina bi shost, ninayo boda aina ya boxer sijui utaridhika nayo?Hapana ndege private jet
muongo huyo, kaamua tu kutweza utu wetu.jamaniiii.
Wee em sema kweli?!muongo huyo, kaamua tu kutweza utu wetu.
Hata hiyo ya profile yako sio mbaya japo haijakaa powaMkuu weka picha ya kuzalia watoto basi tujipime.
Ili tujue tunafit wapi.
SawaHapana sihongwagi na pambana
sasa mtu et anataka mwanaume mwenye private jet, jf hii unampata wapi, wakat wengi wetu tunamiliki boda tu.Wee em sema kweli?!
UNagari au nyumba au unapanga unasira yakuzaliaSawa
Tulia uandike vzr, au hujakojozwa hvy una wenge?UNagari au nyumba au unapanga unasira yakuzalia
Sura yakuzaliwa unajua siri nini??Tulia uandike vzr, au hujakojozwa hvy una wenge?