Ŵanaume humu hakuna kama huyu mbaba hata hamjakutia robo yake

Daresalama kuja Mbeya.
Mwaya nataka atleast mtu wahivi na huku hakuna.
1. Awe anakampuni 2 nakuendelea kubwa ambao anaajiri wafanyakazi mia nakuendelea anauwezo wakutengeneza bima zao nakuwalipia bila wasiwasi.

2. Awe anamagari yakisasa 3 nakuendelea
3. Awe nauwezo wakulipia tiketi yakwenda popote duniani
4.awe anasura ya kuzalia watoto
5. Asiwe mchungu
7. Asinitegemee
8. Mapenzi sio dili pesa ndio mpango mzima
9. Awe na nyumba kubwa zakisasa
 
Ya nini yote hayo, mimi sina kampuni, ila hela ya kutumia hadi unakimbia ipo.

Kokote duniani mimi sijawahi kwenda.
 
Mkuu weka picha ya kuzalia watoto basi tujipime.
Ili tujue tunafit wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…