Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

roselyn2

Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
86
Reaction score
388
Nyie Nyie Nyie, Ndo upate mwanaume akugande kama Rajab [emoji1787][emoji1787] Abadili jina kuwa Robert kwa ajili yako.

Kuna watu wanapendwa jamani.

Wanaume igeni mfano kutoka kwake.

290691046_600310654699276_8878773404080266456_n.webp.jpg
 
Huyu muhuni anawaza namna gani abaki midomoni kwa watu muziki wake uende, na alishajua kajala ana kanyota fulani wakikaa wote.kama ilivyo yeye.

Hamna ndoa hapo yaani eti aitwe Robert kweli?

Amka hakuna wa kukufanyia huo upuuzi fanya kazi tu upate pesa yako
 
Ukiwa msanii inahita udate au uoe/uolewe na msanii mwenzio athawais attention au umaaarufu unapungua
Yeye ange date tuu...yaani mie maarufu na hel ninayo sii natembeza dudu tuu kwa warembo wote maarufu na siweki kambi. Huyu ana matumizi mabaya ya hela na umaarufu🤣🤣🤣🤣
 
Yeye ange date tuu...yaani mie maarufu na hel ninayo sii natembeza dudu tuu kwa warembo wote maarufu na siweki kambi. Huyu ana matumizi mabaya ya hela na umaarufu🤣🤣🤣🤣
Sema ndo anapopata kiki kaona tumwache apige hela
 
Back
Top Bottom