Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

Kuna wanawake wanastahili heshima zaidi ya hiyo kubadili jina na dini

ingekua hata damu naweza ibadili unaibadili tu,au u bin niitwe Controla Magreth

yani kuna wanawake ndoa haitoshi kumuonyesha thamani yake,maana ukifikiria namna

wamejitoa kwa ajili yako,amekuvumilia,amepita nawewe ktk kila bonde na akabaki na msimamo

ule ule kukupenda wakati wote wa maisha yake,mwana mke wa hivi wakati namvalisha pete tu

sipigi goti napga sarakasi nasimamia kichwa kisha ndio nachukua mkono wake namvalisha.

"siwezi.muiga.harmonize"
 
Asante brother 🤛🏿🤛🏿
 
Huyu muhuni anawaza namna gani abaki midomoni kwa watu muziki wake uende, na alishajua kajala ana kanyota fulani wakikaa wote.kama ilivyo yeye.

Hamna ndoa hapo yaani eti aitwe Robert kweli?

Amka hakuna wa kukufanyia huo upuuzi fanya kazi tu upate pesa yako
Ahahaahaa hamna wa kukufanyia huo upuuzi ....wanawake wanaonekana n wepesi sana kudanganyika ...wao et wanaamini hii ni ndoa kwel
 
Ni viumbe wapumbavu tu movie za hollywood zimewaharibu pia .

Yaani huyo konde afanye yote haya just for papuchi ya huyu mama?
Eti kabisa wanakazania eti tuige..!

No wonder wanaishia kutumika tu wanaolewa wenye akili
 
Wanawake wengi hawataki kupendwa. Ukimpenda atachukua udhaifu wako kukuendesha km gari bovu.
Huyo siku zake zinahesabika, atapigwa na kitu kizito chenye ncha kali kichwani mpk ashangae.
Nishayapitia. Sasa hivi nafanya mambo yangu
Tunatofautiana, mwanaume akinipenda kweli kweli nae ataupata upendo wangu kwa uzito ule ule na hata kumzidi.
 
Kuna wanawake wanastahili heshima zaidi ya hiyo kubadili jina na dini

ingekua hata damu naweza ibadili unaibadili tu,au u bin niitwe Controla Magreth

yani kuna wanawake ndoa haitoshi kumuonyesha thamani yake,maana ukifikiria namna

wamejitoa kwa ajili yako,amekuvumilia,amepita nawewe ktk kila bonde na akabaki na msimamo

ule ule kukupenda wakati wote wa maisha yake,mwana mke wa hivi wakati namvalisha pete tu

sipigi goti napga sarakasi nasimamia kichwa kisha ndio nachukua mkono wake namvalisha.

"siwezi.muiga.harmonize"
Safi
 
Huyu muhuni anawaza namna gani abaki midomoni kwa watu muziki wake uende, na alishajua kajala ana kanyota fulani wakikaa wote.kama ilivyo yeye.

Hamna ndoa hapo yaani eti aitwe Robert kweli?

Amka hakuna wa kukufanyia huo upuuzi fanya kazi tu upate pesa yako
Hapa Mwamba umetuwakilisha vizuri Wanaume aulize alichofanyiwa clement wa Wema sasa hivi amegeuka kuwa muuza chips mapenzi ya kweli sio ya show off mastaa ambao Unaweza kusema hapa kuna userious ni ya Navykenzo
 
Hivi ni kwamba Rajabu hajui mabalaa yake? Anajua ila kapenda yakimshinda atajiengua. Wangapi wameoa wanawake wasio na watoto na cha moto wanakipata? Wacha ainjoy yakibumburuka atachapa lapa.
Sasa kama kuna kuchapa lapa sii bora umuweke ndani kinyumba tuu unajilia vyako bila kuingia kwa ndoa.

Wanawake wenyewe siku hizi wanachojali ni ndalama tuu na huduma nzuri so wala huna shida ya ndoa.
 
Back
Top Bottom