Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mbona nyinyi mnanunua majarida lakini sisi hatusemi.Kanunua gazeti jioni nyege zikiisha akili itarudi sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nyinyi mnanunua majarida lakini sisi hatusemi.Kanunua gazeti jioni nyege zikiisha akili itarudi sawa
Kama umeoa , mkeo unaishi naye wakati hataki kupendwa?
KondeGang MOVIE PRODUCTION Wanakuletea POCHI LA MANYOYAKhaaa! kwa hiyo ni maigizo?
Tunatofautiana, mwanaume akinipenda kweli kweli nae ataupata upendo wangu kwa uzito ule ule na hata kumzidi.
Sasa nampenda vipi mwanaume asienipenda huko ni kujitafutia shida tu. Na hayo ya kuuana yanakuja na sababu tofauti tofauti wewe mwanaume fanya kwa kiasi chako yakikushinda acha hamna mtu atakushikia kiboko maamuzi ni yako mwenyewe.Asipokupenda humpendi?
Kosa kubwa sana la wanaume wanalolifanya ni kumpenda sana mwanamke. Matokeo yake ni yale unampiga mkeo risasi 7 na wewe unajiua
Kuna watu wamejiua na wengine wapo gerezani kwasabb ya kuwapenda wanawake.
Wanawake hawana shukrani. Mm nilikuwa na huruma sana na mwanamke na pia nilikuwa nawapenda sana. Sikupata faida yoyote zaidi ya kupoteza muda na fedha zangu.
Mwanamke muda wwte anakubadilikia
Faida ya kutompenda mwanamke, akizingua unapiga chini muda wowote.
Kwanini umuombee mabaya badala ya kumuombea mema? Huoni kama unajigeuzia msumari?Huyu atakuja kulia siku sie tupo hapa tunasubiri
Kila nyumba inashida zake pia matatizo ya ndoa yanatofautiana, msikariri jamani acheni mwenzenu ale raha !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wengi hawataki kupendwa. Ukimpenda atachukua udhaifu wako kukuendesha km gari bovu.
Huyo siku zake zinahesabika, atapigwa na kitu kizito chenye ncha kali kichwani mpk ashangae.
Nishayapitia. Sasa hivi nafanya mambo yangu
Sanaaa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kupendwa raha mno
Siku zote hizi Mme kajificha wapi!?Hivi Kajala si bado mke wa mtu?
Ila heshima kwake kwa kubeba single mother tena aliyemzidi umri
Huyo ni mmakonde alievamia jiji kwa papara,anachotafuta ni kiki na simba mzee ambae hana mbinu mpya mjiniNyie Nyie Nyie,
Ndo upate mwanaume akugande kama Rajab [emoji1787][emoji1787] Abadili jina kuwa Robert kwa ajili yako [emoji849][emoji849]
[emoji2956][emoji2956][emoji2956]
[emoji3064][emoji3064]Kuna watu wanapendwa jamani,
Wanaume igeni mfano kutoka kwakeView attachment 2273328View attachment 2273329View attachment 2273330View attachment 2273331
Wivu huo sasa waache wenzio wale raha, maisha yenyewe haya mafupi mkuu.
[emoji27][emoji27][emoji27]Ukiona mwanaume yeyote anamuelewa mwanamke kupitiliza jua anakaribia kufa.
Lakini tayari kashasoma habariKanunua gazeti jioni nyege zikiisha akili itarudi sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzenu kapenda jamani, comment za watu jamani hapana wabongoKuna wanawake wanastahili heshima zaidi ya hiyo kubadili jina na dini
ingekua hata damu naweza ibadili unaibadili tu,au u bin niitwe Controla Magreth
yani kuna wanawake ndoa haitoshi kumuonyesha thamani yake,maana ukifikiria namna
wamejitoa kwa ajili yako,amekuvumilia,amepita nawewe ktk kila bonde na akabaki na msimamo
ule ule kukupenda wakati wote wa maisha yake,mwana mke wa hivi wakati namvalisha pete tu
sipigi goti napga sarakasi nasimamia kichwa kisha ndio nachukua mkono wake namvalisha.
"siwezi.muiga.harmonize"