Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

Hivi ni kwamba Rajabu hajui mabalaa yake? Anajua ila kapenda yakimshinda atajiengua. Wangapi wameoa wanawake wasio na watoto na cha moto wanakipata? Wacha ainjoy yakibumburuka atachapa lapa.
Hapa umeongea la maana kweli, yakimshinda si basi jamani ndiyo maana kuna taraka.
 
Sio tunaombea mabaya ila hatupendi mapenzi ya kiki huo uhusiano wao hautadumu kwasababu kajala kafuata ATM wakati harmonize yupo kwaajili ya kutafuta kiki mjini anaona mziki wake hauwezi kwenda bila skendo
Lakini si kamtaka mwenyewe? Mabinti wapo wengi sana lakini kamchagua kajala, acha wafurahie penzi lao!
 
Yaani mimi nimpende mwanamke zaidi ya ninavyojipenda mwenyewe kwanza kiasi cha kufanya stupid decisions kama hizo?
Huyo jamaa ni mjinga na wanawake wanapenda wajinga ili wawaendeshe, mwanaume ndio unatakiwe umuongoze mwanamke na afuate miongozo yako na sio kuwa crash dummy.
Jamani aliyekuwa anambembeleza mwenzie nani?
 
Harmo na Kajala nawatakia kila raheri katika maisha yetu ya mapendeko.
 
Kwamba na sisi tufanye hayo maigizo anayofanya au tufuate masharti ya ndumba anayoyapitia?

At least ungeandika wanaume wamuige Nareel ningekuelewa...
 
Kuna wanawake wanastahili heshima zaidi ya hiyo kubadili jina na dini

ingekua hata damu naweza ibadili unaibadili tu,au u bin niitwe Controla Magreth

yani kuna wanawake ndoa haitoshi kumuonyesha thamani yake,maana ukifikiria namna

wamejitoa kwa ajili yako,amekuvumilia,amepita nawewe ktk kila bonde na akabaki na msimamo

ule ule kukupenda wakati wote wa maisha yake,mwana mke wa hivi wakati namvalisha pete tu

sipigi goti napga sarakasi nasimamia kichwa kisha ndio nachukua mkono wake namvalisha.

"siwezi.muiga.harmonize"
...👊👊👊
 
Nimekuwa impressed na hii story , na mm umri wangu ni kama Hamonize sema sina hela.
Ila nahisi kuna raha sana kudate na lidada limekuzidi kama 10 years flani hiviii
Lidada la mjini kama kajala, lizur ,lisafi au limezaa kwa mpango.
Sio hivi vi tweentage hata mkikaa hamjui mna discuss nn
 
Nimekuwa impressed na hii story , na mm umri wangu ni kama Hamonize sema sina hela.
Ila nahisi kuna raha sana kudate na lidada limekuzidi kama 10 years flani hiviii
Lidada la mjini kama kajala, lizur ,lisafi au limezaa kwa mpango.
Sio hivi vi tweentage hata mkikaa hamjui mna discuss nn
Lidada au limama?

Mtu ana mtoto mkubwa tu tena njemba nazo zinapiga miti bado mama yake unamuita dada?

Yule ni mmama kabisa.
 
Naona wanawake wameamka humu jukwaani! Leo ndo nafahamu kuwa kumbe jf members sio wanaume tu, kumbe na wanawake wamo! Kuna majina mi ndo nayaona leo!
 
Tunatofautiana, mwanaume akinipenda kweli kweli nae ataupata upendo wangu kwa uzito ule ule na hata kumzidi.
Kelsea kwa akili yako timamu unaamini kabisa kuna mapenzi hapo kwa harmonize na kajala kwa akili hizi mlizonazo ndio maana mnapigwa matukio mapenzi ambayo yapo serious ni ya Navykenzo
 
Ila Wanawake wana kaujinga fulani hivi now they praise Harmonize kama Mr. Romantic. Yaani mtu aliyetaka kukula wewe na mwanao bado unamrudisha katika circle yako?
Ndio maana wanapigwa matukio
 
Back
Top Bottom