Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

Ila Wanawake wana kaujinga fulani hivi now they praise Harmonize kama Mr. Romantic. Yaani mtu aliyetaka kukula wewe na mwanao bado unamrudisha katika circle yako?
Mimi binafsi nimepigwa ban nzito kwa kosa la kumla mam huku nikitaka kumla beki tatu yake alibaini hilo amemaind kinomaa yaani
 
Nyie Nyie Nyie, Ndo upate mwanaume akugande kama Rajab [emoji1787][emoji1787] Abadili jina kuwa Robert kwa ajili yako

[emoji3064]Kuna watu wanapendwa jamani,

Wanaume igeni mfano kutoka kwake.

Masharti ya mganga jina la Kajala ndio anatakiwq kutolewa kafara ili Mmakonde awe juu.

Subirini tu msikie kifo cha ajari ya ghafla ndio akili zitawarudia
 
Babaake ni imam pale chitohole ila mwanae kabadili jina kisa mapenzi kweli pesa mwanaharamu.
Katika hili pesa haihusiki, kwa mujibu wa comment ni papuchi ndo mwanaharamu
 
Ila Wanawake wana kaujinga fulani hivi now they praise Harmonize kama Mr. Romantic. Yaani mtu aliyetaka kukula wewe na mwanao bado unamrudisha katika circle yako?
Hivi wale wababa wanaokula mabinti zao wa kuwazaa nao wafanyweje maana kwa mujibu wa haya maelezo yako harmo 'alitaka kula' ila hakula,, acheni wivu wa kike aisee
 
Ukiskia mwanaume bwege Basi ndio uyo konde boy
Na wewe unaandika haya,,, 😅😅nimekubali nyani haoni kundule,, ngoja nijitolee kukumbusha tu,, ule mchepuko wako usiotaka kuachana nao pamoja na mauozo yote unayokiri aliyonayo kisa tu k yake inakufurahisha,, Basi na harmo k ya kajala imemfurahisha kiwango sawa na mchep wako anavyokufurahisha
 
Na wewe unaandika haya,,, [emoji28][emoji28]nimekubali nyani haoni kundule,, ngoja nijitolee kukumbusha tu,, ule mchepuko wako usiotaka kuachana nao pamoja na mauozo yote unayokiri aliyonayo kisa tu k yake inakufurahisha,, Basi na harmo k ya kajala imemfurahisha kiwango sawa na mchep wako anavyokufurahisha
Akili za hawa kaka zetu wanazijua wenyewe.
 
Tuige nini haswa?
1. Kulilia wamama walioshindikana mjini?
2. Tuige kula kuku na mayai
3. Au tuige kuomba msamaha?
 
Back
Top Bottom