Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

Baba'ako nae c mwanaume umemuhuliza alichojifunza????
 
Sasa inahusiana nini rafiki yangu? eti kwa akili hizi ndio sababu tunapigwa matukio nyie huwa hampigwi matukio?? kama ni kiki watajua wao lkn katika uhalisia kuna wanaume aina ya Rajab wanaoa wanawake aina ya Kajala na ndio tunaowazungumzia hapa haki tena wanaume punguzeni makasiriko. Huu uzi wanaume mmejaa sana uchungu.
Unadhani kajala angekuwa hana kiki huyo harmonize angem'gan'gania?
 
WhatsApp Image 2022-06-27 at 1.54.29 PM.jpeg
 
Sio issue sana ujue mahusiano mengi sasa hivi yapo kimaslahi zaidi.
Ndio umuambie mtoa mada asiseme tumuige harmonize mwenye mapenzi ya kisanii mtoa mada angekuwa na akili na watu tungemuelewa angesema tuige mapenzi ya Navykenzo wale ndio wanaonekana wapo serious hawapo kwa ajili ya kiki they have real love na ndio maana yamepiga hatua kubwa Sana na wamefanikiwa kimaisha as a couple
 
Sawa, umeeleweka.
 
Back
Top Bottom