Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

Hivi wale wababa wanaokula mabinti zao wa kuwazaa nao wafanyweje maana kwa mujibu wa haya maelezo yako harmo 'alitaka kula' ila hakula,, acheni wivu wa kike aisee
Harmo hakumzaa Paula usifananishe kifo na usingizi, Harmo hana chochote anachoshare na Paula na alishaonyesha intention ya kumla Paula.

Hao wababa wanaokula watoto wao wa kuwazaa wauliwe tu. Ila Harmo akimla Paula nitampa kongole sana.
 
We endelea kuteseka tu haisaidii kitu
 
Alipopiga magoti ndipo alipoharibu kila kitu, anyway hongera kwake
 
Upendo rafiki, hayo mengine ni yake Harmo.
Robie angempenda Kajala angemheshimu.
1. Asingekula mayai
2. Walipoachana asingehangaika na wanawake wengine angesubiria warudiane.

.......
Sasa amehangaika na wazungu alipoona mambo mazito ndio kamrudia Mzee Kajala😅
 
Robie angempenda Kajala angemheshimu.
1. Asingekula mayai
2. Walipoachana asingehangaika na wanawake wengine angesubiria warudiane.

.......
Sasa amehsngaika na wazungu alipoona mambo mazito ndio kamrudia Mzee Kajala😅
Hehe kwa hiyo hamna la kuiga, haya bwana
 
Mmmh
Robie angempenda Kajala angemheshimu.
1. Asingekula mayai
2. Walipoachana asingehangaika na wanawake wengine angesubiria warudiane.

.......
Sasa amehsngaika na wazungu alipoona mambo mazito ndio kamrudia Mzee Kajala😅
 
Huyu muhuni anawaza namna gani abaki midomoni kwa watu muziki wake uende, na alishajua kajala ana kanyota fulani wakikaa wote.kama ilivyo yeye.

Hamna ndoa hapo yaani eti aitwe Robert kweli?

Amka hakuna wa kukufanyia huo upuuzi fanya kazi tu upate pesa yako
Ni kweli ndoa za mastaa wengi ni biashara kama nandy anavomganda bilnass kwakuwa wakiwa pamoja anampandisha chart
 
Back
Top Bottom