Wanaume inabidi tufanye utafiti kidogo

Wanaume inabidi tufanye utafiti kidogo

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Siku za karibuni kumekuwa na nyuzi za sisi wanaume kuwafungukia hawa warembo wetu wa humu jamvini.

Wengi tunajiuliza kwa nini hizi nyuzi zinafuatana sana, kulikoni kuna nini?

Au hawa warembo wameshatuendea kwa babu na kutupika kwenye vyungu nini? 😀 😀

Mabaharia wenzangu, njooni kwenye kikao tujadili, inawezekana hawa wameshatu-'overtake'

Haiwezekani, hata mimi kuna jina linakuja kuja la kumuanzishia uzi; watakuwa wametupika hawa.

Warembo wetu mtuhurumie watoto wa wanawake wenzenu.​
 
Back
Top Bottom