Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

halafu siku izi mbona hamtoi povu,
mpo wakavu mno mmepoaaa na unyevuunyevu kidogo tu,

kwanin?

Mbona haikua hivi hapo awali?
 
Mwanamke saivi Hana Thamani, kabisa sabab ni wanawake hao hao ndo wamejishusha Thamani yao kwa kutangliza tamaa mbele!! Sasa hapo kwanini wanaume wasiwatumie wanavyo taka.
 
Ukijifanya "object" unakuwa ni "object" kweli.

Mwanamke hatunzwi na mwanamme, mwanamke mwenye kujielewa hujitunza mwenyewe na kumtunza mwanamme.

Itafikiaje mpaka mwanamme akufanye "object"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ