Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
halafu siku izi mbona hamtoi povu,
mpo wakavu mno mmepoaaa na unyevuunyevu kidogo tu,

kwanin?

Mbona haikua hivi hapo awali?
 
Tatizo linaanzia kwetu wenyewe kwann ukubali kutumika hovyo??
Hivi wanawake tugome kuwapa wanaume hovyo hizo guts za kutusema MALAYA watazitolea wapi??
Tatizo baadhi yetu tuko cheap na vitamaa vya kingese ndiomana tunadhalilishwa. Mara tunagongwa kwa sate sauzandi, mara 3k
Mwanamke saivi Hana Thamani, kabisa sabab ni wanawake hao hao ndo wamejishusha Thamani yao kwa kutangliza tamaa mbele!! Sasa hapo kwanini wanaume wasiwatumie wanavyo taka.
 
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
Ukijifanya "object" unakuwa ni "object" kweli.

Mwanamke hatunzwi na mwanamme, mwanamke mwenye kujielewa hujitunza mwenyewe na kumtunza mwanamme.

Itafikiaje mpaka mwanamme akufanye "object"?
 
Back
Top Bottom