Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Asante sana umejua kuongea ukweli leo japo yatakuja humu yamekasirika yataanza kubwataNimeupitia masihara mengine ni kama ubakaji! Na story nyingi anayeanzisha masihara ni mwanaune!
Chanzo ni nyie! Kwanini uniamshe hisia halafu nikikupa ukanitangazie umalaya!