Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Inaboa yaani. Kutwa kunyemelea vitoto vya shule halafu kuoa eti wanataka bikra!
Kwani ulivunjwa bikra na wanaume wote ??si uligongwa tu kivyako umejificha mbona makali hivi ??? Au ulilazimishwa upeane ??
Cha mwisho ndio wanaume wanakosea kuleta nyuzi za kipuzi sikatai ila in my opinion ni kwa kuwa wamewaweka ke kwa ujumla on a higher pedestal , kwa wanaotangaza wanaona yani kimasikhara bila mvutano sio kawaida ,wana expectations za juu on women .
Ila tunda kuliwa ni jambo la kawaida sana
 
Kumbe unajua we tanguliza kamilioni hapo nilipie upatu uone utavyopewa vibuno kama vya zuchu
Milioni ya nini, yaani kwa K hii hii ninayoifahamu au ni nyingine🤣🤣🤣, sema yapo maboya yanatanguliza pesa ili kupewa utamu...aisee wanaume wengi wanaumizwa sana!
 
Milioni ya nini, yaani kwa K hii hii ninayoifahamu au ni nyingine🤣🤣🤣, sema yapo maboya yanatanguliza pesa ili kupewa utamu...aisee wanaume wengi wanaumizwa sana!
Sasa wanaumizwa wapi jamani kamilioni sio kakitu ka kumnyima mtu bwanaaa 🤣🤣🤣🤣🤣 kiufupi wanakula wanapopeleka mboga
 
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
toa bei elekezi msimbe.
 
Miongo hiyo ni vile tunawasoma tunacheka tunaona km vibonzo vya Nathan Mpangala
Kwa nguvu gani walizonazo za kupiga bao zote hizo?!!😂😂😂
Tunatoa mihela na kupiga gongo tano hadi kumi wewe, nenda kwa Riki usome ushuhuda🤣🤣
 
Back
Top Bottom