Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Inaelekea bado haujajitegemea bado unamtegemea mtu. Usifuatilie maisha ya mtu yeyote. Fanya kazi kwa malengo kula raha zako. Nimezunguka dunia kuna watu wana starehe za kutisha lakini wana maisha mazuri kuliko wanafiki wanaoshinda makanisani. Huku Ulaya kuna mabosi wanavuta Unga na bado kwenye kazi hawana masihara. Muhimu ni kupiga kazi na kuishi unavyotaka wewe. Maisha mafupi haya.
 
Sasa hizo bikra mnazotaka kuoa mtazipata wapi wakati mnashindana kuwabikiri watoto wadogo? Yaani haiji kabisa
 
Umepata njoo ule pesa zisizo na masimango za wakinga 😜
Tena wifi yenu nawasaidia kukazia muwachune ila mgao muhimu πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
Usijali lazima tutume fungu la kumi tunajua wifi Ana mdomo lazima tujiongeze....ila asiwe vunja bei tu 😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…