Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
Inaelekea bado haujajitegemea bado unamtegemea mtu. Usifuatilie maisha ya mtu yeyote. Fanya kazi kwa malengo kula raha zako. Nimezunguka dunia kuna watu wana starehe za kutisha lakini wana maisha mazuri kuliko wanafiki wanaoshinda makanisani. Huku Ulaya kuna mabosi wanavuta Unga na bado kwenye kazi hawana masihara. Muhimu ni kupiga kazi na kuishi unavyotaka wewe. Maisha mafupi haya.
 
Kwani ulivunjwa bikra na wanaume wote ??si uligongwa tu kivyako umejificha mbona makali hivi ??? Au ulilazimishwa upeane ??
Cha mwisho ndio wanaume wanakosea kuleta nyuzi za kipuzi sikatai ila in my opinion ni kwa kuwa wamewaweka ke kwa ujumla on a higher pedestal , kwa wanaotangaza wanaona yani kimasikhara bila mvutano sio kawaida ,wana expectations za juu on women .
Ila tunda kuliwa ni jambo la kawaida sana
Sasa hizo bikra mnazotaka kuoa mtazipata wapi wakati mnashindana kuwabikiri watoto wadogo? Yaani haiji kabisa
 
Back
Top Bottom