Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Sijui kwanini mi sijawahi kujiunganisha kwenye hiyo ''Wanawake malaya,sijui wanapenda pesa, sijui wachepukaji'' yani sijawahi kuwa offended!
Na ain't a saint!
Si kila mtu anaandika analojiskia?
We wakiandika malaya usiwaze, si unajijua wewe ulivyo!
Yan nianze tu kuwaza ni tusi kwangu na huna mahali umenitaja jina?

Well, kuna namna SIPENDI TU GENERAL rule!
Hata tu katika maisha ya kawaida mi siwezi sema ''Wanaume ni mbwa sijui wanaume ni mashetani!
Na nimeona uovu mwingi tu wa wanaume.
Yet situmii kamwe hiyo kauli!

Usipende kujitafsiri vile wanavyokutafsiri watu.
 
Ukishindwa kutumia akili na utashi ulio jaliwa na Muumba huku ukiendekeza tamaa utatumika na utatumika haswa.
 
Weka dau watu tukakupitishie mkuyenge kwenye huo mdomo

100 kama inalipa utanishtua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…