Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Bora umesema wewe jirani... yani wadada sijui hua tunakwama wapi
Tatizo linaanzia kwetu wenyewe kwann ukubali kutumika hovyo??
Hivi wanawake tugome kuwapa wanaume hovyo hizo guts za kutusema MALAYA watazitolea wapi??
Tatizo baadhi yetu tuko cheap na vitamaa vya kingese ndiomana tunadhalilishwa. Mara tunagongwa kwa sate sauzandi, mara 3k