Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Bora umesema wewe jirani... yani wadada sijui hua tunakwama wapi

Tatizo linaanzia kwetu wenyewe kwann ukubali kutumika hovyo??
Hivi wanawake tugome kuwapa wanaume hovyo hizo guts za kutusema MALAYA watazitolea wapi??
Tatizo baadhi yetu tuko cheap na vitamaa vya kingese ndiomana tunadhalilishwa. Mara tunagongwa kwa sate sauzandi, mara 3k
 
Dada kachamba hatari. Mange ni mwanafunzi
 
Ndo hivyo. halafu still mtu anakuja jukwaani kama hivi analia eti anaonewa😅🤭...nonsense kabisa🤒🚮🚮
 
Kwa hiyo minyege mnataka mkatolee wapi?
 
Sio wote sisi wengine ni tunawapenda wake zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…