Mwanamke wakifikisha umri wa miaka 40 kwa 50 hubadilika kitabia na hulka zao kwa sababu ndo umri wao wa 'last card' au wa mwishwo kwenye ndoa kabla ya kua Bibi na kuanza kulea wajukuu.
Wengi hubadilika kua na kiburi, washika dini sanaa (walokole) kujkmba nyimbo za dini kila wakati, kuhoji kila jambo na kua na msimamo wake katika kila jambo, usishangae kuona mkeo aliekua mtiifu mnyenyekevu kwako kubadilika ghafra anapo timiza miaka 40 kwa 50. hasa akiwa amesha zaa watoto kwako wa kutosha,
Kwa umri huo usishangae ana anza kukuuliza masuali kama haya:
1. Kwani sex ni chakula kwanini kila siku?
2.. kila kitu unataka ufanyiwe wewe huna mikono?
3.Tangu unioe ulininulia nini cha maana zaidi ya chakula tu?
4. Anaanza kuhoji baadhi ya tabia zako na marafiki zako.
Kwa umri huo wa 40 kwa 50 atakua msemaji mkuu wa familia na haogopi kuongea chochote anacho fikilia akilini mwake, ukimuelekeza jambo anachukua mda kulitekeleza au anaghairi usipo angalia sana utajikuta siku zingine utajifulia nguo unazo taka kuvaa weekends au kujipikia your favourite meals.
Njia peke za kunusuru ndoa yako, mkeo ukifikisha huo umri sio kuoa mke mgine hapana ni kujiongenzea tu matatizo wanawake ni walewale, ni kufanya yafuatayo:
1. Kila unacho muagiza mfafanulie faida iliomo punguza kasi kwake ya kumtuma tuma,
2. Jua umri huo kwa mwanamke ni kmri wa majuto huenda majuto hayo ni pamoja na maamuzi yake ya kuoelewa na wewe.
3. Hu ni mda wake wakulipiza kisasi kwako kama hukua mzuri kwake in the past years jiendae mara mbili kupokea mapigo kutoka kwake anaweza kufanya lolote kwa lengo lakulipiza kisasi hata kwa kutoka na kuzaa na mjungaji wakanisa lake, anaweza akabadili kua mama wakanisa manaake kukesha over night prayer ikawa kawaida kila wiki.
View attachment 3176641