- Thread starter
- #41
Hiki kizazi ni hatari wanawake hubadilika mapema sanaa sio ajabu kukuta wa miaka ya 2000 kua na tabia kama wa miaka 50 kwa 40 duh.Kwasasa hata mwenye umri wa 35,baadhi yao wanatabia hizo,na pamoja na hayo uloeleza mkuu maisha yetu ya sasa yanamchanganyiko wa mambo mengi,tofauti na enzi za wazee wetu,siku hizi mkeo kuwa na tabia kwasababu tu ujampa hela ya vikoba,ujamnunulia nguo ya sikukuu,ujamnunulia chips,yaani tafrani tupu aseh!!!,pengine umwemwangalia kwa bahati mbaya tu binti fulani,ye anahisi unampenda huyo binti,yaani balaa,kifupi wasasa hivi wanajali sana vitu kuliko utu.