Wanaume jiandeni jinsi ya kuishi na wake zenu wakifika umri wa miaka 40 kwa 50

Wanaume jiandeni jinsi ya kuishi na wake zenu wakifika umri wa miaka 40 kwa 50

Kwani lazima anifulie nguo ? Machine zinafanya kazi gani? Kwanza hata Mimi mda huo simhitaji mwanamke Kwa sababu nitakuwa busy na mambo yangu.
Haya mkuu time will tell, wakati nakua nilidhani kila familia lazime iwe na family na nyumba ya Umeme, ila siku nilivo shudia mtumishi mstaafu anafukunzwa kwenye nyumba ya serikali na kutafuta mvuta tutoli kuhamisha samani zake kwenye chumba na sebule cha kupanga ndo siku niliogindua kwamba utoto raha sana
 
Haya mkuu time will tell, wakati nakua nilidhani kila familia lazime iwe na family na nyumba ya Umeme, ila siku nilivo shudia mtumishi mstaafu anafukunzwa kwenye nyumba ya serikali na kutafuta mvuta tutoli kuhamisha samani zake kwenye chumba na sebule cha kupanga ndo siku niliogindua kwamba utoto raha sana
Kwa nini hakujenga Hadi anastaafu? Au alipokonywa nyumba na mwanamke?

Ndio maana sijengi peke yangu namfanyisha kazi na hela zake nachukua haswaa.

Vitu vya ndani sijihangaishagi,nyumba ni ya mwanamke sio yangu.
 
Mwanamke wakifikisha umri wa miaka 40 kwa 50 hubadilika kitabia na hulka zao kwa sababu ndo umri wao wa 'last card' au wa mwishwo kwenye ndoa kabla ya kua Bibi na kuanza kulea wajukuu.

Wengi hubadilika kua na kiburi, washika dini sanaa (walokole) kujkmba nyimbo za dini kila wakati, kuhoji kila jambo na kua na msimamo wake katika kila jambo, usishangae kuona mkeo aliekua mtiifu mnyenyekevu kwako kubadilika ghafra anapo timiza miaka 40 kwa 50. hasa akiwa amesha zaa watoto kwako wa kutosha,

Kwa umri huo usishangae ana anza kukuuliza masuali kama haya:

1. Kwani sex ni chakula kwanini kila siku?
2.. kila kitu unataka ufanyiwe wewe huna mikono?
3.Tangu unioe ulininulia nini cha maana zaidi ya chakula tu?
4. Anaanza kuhoji baadhi ya tabia zako na marafiki zako.

Kwa umri huo wa 40 kwa 50 atakua msemaji mkuu wa familia na haogopi kuongea chochote anacho fikilia akilini mwake, ukimuelekeza jambo anachukua mda kulitekeleza au anaghairi usipo angalia sana utajikuta siku zingine utajifulia nguo unazo taka kuvaa weekends au kujipikia your favourite meals.

Njia peke za kunusuru ndoa yako, mkeo ukifikisha huo umri sio kuoa mke mgine hapana ni kujiongenzea tu matatizo wanawake ni walewale, ni kufanya yafuatayo:

1. Kila unacho muagiza mfafanulie faida iliomo punguza kasi kwake ya kumtuma tuma,
2. Jua umri huo kwa mwanamke ni kmri wa majuto huenda majuto hayo ni pamoja na maamuzi yake ya kuoelewa na wewe.
3. Hu ni mda wake wakulipiza kisasi kwako kama hukua mzuri kwake in the past years jiendae mara mbili kupokea mapigo kutoka kwake anaweza kufanya lolote kwa lengo lakulipiza kisasi hata kwa kutoka na kuzaa na mjungaji wakanisa lake, anaweza akabadili kua mama wakanisa manaake kukesha over night prayer ikawa kawaida kila wiki.
View attachment 3176641
Sawa
 
Kazee kamesha staafu halafu kanatoa masharti ya kupikiwa na kutaka kula papuchi🤣🤣
 
Huu Uzi Una ukweli kwa asilimia 💯 maana nimeshuhudia Sana hata mambo kwenye familia za watu
 
Ngoja nifanye mpango wa kufungua kabiashara karibu na lango la chuo hapa niuze vitu vinavyopendwa na mabinti ili kila mwaka niwe na uhakika wa kunyoosha goti daily.
Utanyoosha goti daily mpaka mwili utanyooka mazima. Utakuwa umetusaidia ni kukupachika tu kwenye Jene. 😅
 
Ymeongea point sana ila kuna sehemu umezingua,akifika umri huo unatakiwa kuoa binti mdogo ili amchanganshe
Mwamba hatufugi ng'ombe mzee asiezaa wala kulima elewa hiyo kanuni ya wafugaji,, mwanamke kama hawezi kwenda direction yako sharti aondoke hapo nyumbani kwako..

Msitafute sana justice kwenye upuuzi,, Akigoma kuondoka muonyeshe utaratibu unaotakiwa akigoma pia hama wewe na hati zote za nyumba nenda mbali na hapo anzisha maisha yako.
Kisha rudi uje uuze huo mji mgawane mali kila mtu aende akafie anakojua
Uliachana na wazazi wako waliokuzaa ukaenda kutafuta maisha na si ajabu unakaa mpaka miaka mitano bila kwenda kwenu
Halafu unashindwa kuacgana na mwanamke mzee na kwenda kuishi na binti mdogo wewe una akili kweli??
Eti kuoa binti mwingine ni kujitafutia matatizo kwamba wanawake ni wale wale??

Kuna mabinti wametoka familia zina laana na malezi mabovu mama na watoto wanaungana kumshushia kichapo mdingi utasema
Wanawake wote ni sawa??

Mnajaribu kukaa na matatizo kwa kuamini kuwa huko duniani pia kumejaa matatizo si ndio acheni ujinga muishi kwa furaha nyie..

Mimi niliamini kuwa maisha ya kuoa ni magumu kupitia kwa mke wa kwanza niliemuoa na kuishi nae kwa miaka kumi

Yule mwanamke alikuwa ni mtu hawezi kukupa amani ya maisha kabisa,, kwanini?
Kwasababu tayari alikuwa na sumu akilini na moyoni juu ya wanaume akiamini kuwa enzi zake za kufanya umalaya alikuwa innocent lakini waliomlala ndio walikuwa mashetani..

Akawa ananihukumu na kunijumuisha na watangulizi wangu,,
Kiukweli niwe mkweli kwakuwa nilikuwa nishapiga hatua ndefu na huyu binti kiasi cha kupata watoto wawili pamoja hivyo ilikuwa inaniogopesha sana pale nifikiriapo kwamba itakuja siku nitalala kitandani bila uwepo wake..
Halafu wakati huo ukute yeye huko amelala na kukumbatiwa na mwanaume mwingine yaani hii kitu ilikuwa inanifanya najitafutia vimisemo fulani vya kisenge kama hivyo kuwa wanawake ni wale wale unaanza nao vizuri but later they change,,

Hata nilipojaribu kuanzisha mahusiano mengine haikunisaidia kwasababu bado huyu alikuwa kwenye himaya yangu so ile aura yake iliendelea kunipiga roba kali mpaka nikawa naona kabisa huku nje hakuna kitu nafanya wala kupata japo wa nje wanajitupa na kunifanya niyasahau yale ya nyumbani but Demons had to engulf me tightly.

Baadae naona alinisaidia sana japo anadhani kuwa alinikatili maana aliamua kusepa kwangu,, Kuanzia ile siku mpaka miezi saba I swear I've never faced demons like I did at that moment..
Guess what? She made me a monster that any woman will never beat..

Wanaosema kauli za kujifariji ni wajinga but at some points wako sawa maana it aint easy facing demons from your own spirit.. Not even me that was ready to go a journey with eyes open facing those demons..

Stay focused anything is possible,,

By Sonko Bibo, to the young and elder generation at the mouth of simp bowl...
 
Back
Top Bottom