Hiki kizazi ni hatari wanawake hubadilika mapema sanaa sio ajabu kukuta wa miaka ya 2000 kua na tabia kama wa miaka 50 kwa 40 duh.Kwasasa hata mwenye umri wa 35,baadhi yao wanatabia hizo,na pamoja na hayo uloeleza mkuu maisha yetu ya sasa yanamchanganyiko wa mambo mengi,tofauti na enzi za wazee wetu,siku hizi mkeo kuwa na tabia kwasababu tu ujampa hela ya vikoba,ujamnunulia nguo ya sikukuu,ujamnunulia chips,yaani tafrani tupu aseh!!!,pengine umwemwangalia kwa bahati mbaya tu binti fulani,ye anahisi unampenda huyo binti,yaani balaa,kifupi wasasa hivi wanajali sana vitu kuliko utu.
Wewe unamke? Huwezi kufurahisha mwanamke siku zote lazima atatafuta kisa tu akulipize.Visasi vingi vya wanawake mara nyingi hua tunavisababisha wenyewe.
Unapompiga matukio ya wazi mwanamke wako akavumilia usijione mshindi, wakati ukifika utalipia kwa maumivu makubwa.
Ishi na mwanamke kwa wema, kama una mambo yako yafanye kimya kimya.
Pandashuka haziwezi kukosa bt nachozungumzia matukio ambayo sisi hatuwezi samehe, hata wao hawasemehi bt huvumilia wakitulia timing ya visasi.Wewe unamke? Huwezi kufurahisha mwanamke siku zote lazima atayafuta kisa tu akilipize.
Duh!! pole hapo ndo kasheshe, jiandae kupambana nae kwa mda mrefu maishani mwako, huyu atakua sugu sana akjfika 40yrs.Sasa wangu mbona hzo dalili kazianza mapema ndo kwanza miaka 32 sasa akifika umri huo itakuwaje? Ndoa tamu sana.
Na kuepuka NDOASolution ya matatizo ya mwanaume ni kuwa na pesa!
Mbona hizo mambo mi nakutana nazo,,, nina miaka 37, na wife 36,,, ki ukweli ndoa kwangu ni chungu sasa hiviMwanamke wakifikisha umri wa miaka 40 kwa 50 hubadilika kitabia na hulka zao kwa sababu ndo umri wao wa 'last card' au wa mwishwo kwenye ndoa kabla ya kua Bibi na kuanza kulea wajukuu.
Wengi hubadilika kua na kiburi, washika dini sanaa (walokole) kujkmba nyimbo za dini kila wakati, kuhoji kila jambo na kua na msimamo wake katika kila jambo, usishangae kuona mkeo aliekua mtiifu mnyenyekevu kwako kubadilika ghafra anapo timiza miaka 40 kwa 50. hasa akiwa amesha zaa watoto kwako wa kutosha,
Kwa umri huo usishangae ana anza kukuuliza masuali kama haya:
1. Kwani sex ni chakula kwanini kila siku?
2.. kila kitu unataka ufanyiwe wewe huna mikono?
3.Tangu unioe ulininulia nini cha maana zaidi ya chakula tu?
4. Anaanza kuhoji baadhi ya tabia zako na marafiki zako.
Kwa umri huo wa 40 kwa 50 atakua msemaji mkuu wa familia na haogopi kuongea chochote anacho fikilia akilini mwake, ukimuelekeza jambo anachukua mda kulitekeleza au anaghairi usipo angalia sana utajikuta siku zingine utajifulia nguo unazo taka kuvaa weekends au kujipikia your favourite meals.
Njia peke za kunusuru ndoa yako, mkeo ukifikisha huo umri sio kuoa mke mgine hapana ni kujiongenzea tu matatizo wanawake ni walewale, ni kufanya yafuatayo:
1. Kila unacho muagiza mfafanulie faida iliomo punguza kasi kwake ya kumtuma tuma,
2. Jua umri huo kwa mwanamke ni kmri wa majuto huenda majuto hayo ni pamoja na maamuzi yake ya kuoelewa na wewe.
3. Hu ni mda wake wakulipiza kisasi kwako kama hukua mzuri kwake in the past years jiendae mara mbili kupokea mapigo kutoka kwake anaweza kufanya lolote kwa lengo lakulipiza kisasi hata kwa kutoka na kuzaa na mjungaji wakanisa lake, anaweza akabadili kua mama wakanisa manaake kukesha over night prayer ikawa kawaida kila wiki.
Hata mimi iko hivo, sema ye ana 36 mimi 37,,, lakini maisha ya ndani ni sarakasi sanaMimi wa kwangu kaanza saa hii yuko 36 yrs na mimi niko 35 yrs[emoji23][emoji23][emoji23] after 15 yrs in holly marriage
ππππππMwanamke wakifikisha umri wa miaka 40 kwa 50 hubadilika kitabia na hulka zao kwa sababu ndo umri wao wa 'last card' au wa mwishwo kwenye ndoa kabla ya kua Bibi na kuanza kulea wajukuu.
Wengi hubadilika kua na kiburi, washika dini sanaa (walokole) kujkmba nyimbo za dini kila wakati, kuhoji kila jambo na kua na msimamo wake katika kila jambo, usishangae kuona mkeo aliekua mtiifu mnyenyekevu kwako kubadilika ghafra anapo timiza miaka 40 kwa 50. hasa akiwa amesha zaa watoto kwako wa kutosha,
Kwa umri huo usishangae ana anza kukuuliza masuali kama haya:
1. Kwani sex ni chakula kwanini kila siku?
2.. kila kitu unataka ufanyiwe wewe huna mikono?
3.Tangu unioe ulininulia nini cha maana zaidi ya chakula tu?
4. Anaanza kuhoji baadhi ya tabia zako na marafiki zako.
Kwa umri huo wa 40 kwa 50 atakua msemaji mkuu wa familia na haogopi kuongea chochote anacho fikilia akilini mwake, ukimuelekeza jambo anachukua mda kulitekeleza au anaghairi usipo angalia sana utajikuta siku zingine utajifulia nguo unazo taka kuvaa weekends au kujipikia your favourite meals.
Njia peke za kunusuru ndoa yako, mkeo ukifikisha huo umri sio kuoa mke mgine hapana ni kujiongenzea tu matatizo wanawake ni walewale, ni kufanya yafuatayo:
1. Kila unacho muagiza mfafanulie faida iliomo punguza kasi kwake ya kumtuma tuma,
2. Jua umri huo kwa mwanamke ni kmri wa majuto huenda majuto hayo ni pamoja na maamuzi yake ya kuoelewa na wewe.
3. Hu ni mda wake wakulipiza kisasi kwako kama hukua mzuri kwake in the past years jiendae mara mbili kupokea mapigo kutoka kwake anaweza kufanya lolote kwa lengo lakulipiza kisasi hata kwa kutoka na kuzaa na mjungaji wakanisa lake, anaweza akabadili kua mama wakanisa manaake kukesha over night prayer ikawa kawaida kila wiki.
Labda awe ametoka familia masini hajazea pesa inge kua hivo ndoa za matajiri kama billgates ,zingevunjika, ila ndozinaongoza kuvunjika hata kuliko zetu masikini.Hakuna mwanamke mkaidi mbele ya nwanaume mwenye ukwasi, hakuna!
Mkuu ulioa mzee tafuta mwana mke unao mzidi umri angalau 5 hadi 20, ndo utaona ndoa halisi inakua je.Mbona hizo mambo mi nakutana nazo,,, nina miaka 37, na wife 36,,, ki ukweli ndoa kwangu ni chungu sasa hivi
Wake za kina Bill Gates walipiga hesabu zao wakaona ni bora wachukue mgao wao mapema. Mwanamke akiona mume ana pesa anakimbilia divorce ili nae awe huru kiuchumi.Labda awe ametoka familia masini hajazea pesa inge kua hivo ndoa za matajiri kama billgates ,zingevunjika, ila ndozinaongoza kuvunjika hata kuliko zetu masikini.
Kwani lazima anifulie nguo ? Machine zinafanya kazi gani? Kwanza hata Mimi mda huo simhitaji mwanamke Kwa sababu nitakuwa busy na mambo yangu.Mwanamke wakifikisha umri wa miaka 40 kwa 50 hubadilika kitabia na hulka zao kwa sababu ndo umri wao wa 'last card' au wa mwishwo kwenye ndoa kabla ya kua Bibi na kuanza kulea wajukuu.
Wengi hubadilika kua na kiburi, washika dini sanaa (walokole) kujkmba nyimbo za dini kila wakati, kuhoji kila jambo na kua na msimamo wake katika kila jambo, usishangae kuona mkeo aliekua mtiifu mnyenyekevu kwako kubadilika ghafra anapo timiza miaka 40 kwa 50. hasa akiwa amesha zaa watoto kwako wa kutosha,
Kwa umri huo usishangae ana anza kukuuliza masuali kama haya:
1. Kwani sex ni chakula kwanini kila siku?
2.. kila kitu unataka ufanyiwe wewe huna mikono?
3.Tangu unioe ulininulia nini cha maana zaidi ya chakula tu?
4. Anaanza kuhoji baadhi ya tabia zako na marafiki zako.
Kwa umri huo wa 40 kwa 50 atakua msemaji mkuu wa familia na haogopi kuongea chochote anacho fikilia akilini mwake, ukimuelekeza jambo anachukua mda kulitekeleza au anaghairi usipo angalia sana utajikuta siku zingine utajifulia nguo unazo taka kuvaa weekends au kujipikia your favourite meals.
Njia peke za kunusuru ndoa yako, mkeo ukifikisha huo umri sio kuoa mke mgine hapana ni kujiongenzea tu matatizo wanawake ni walewale, ni kufanya yafuatayo:
1. Kila unacho muagiza mfafanulie faida iliomo punguza kasi kwake ya kumtuma tuma,
2. Jua umri huo kwa mwanamke ni kmri wa majuto huenda majuto hayo ni pamoja na maamuzi yake ya kuoelewa na wewe.
3. Hu ni mda wake wakulipiza kisasi kwako kama hukua mzuri kwake in the past years jiendae mara mbili kupokea mapigo kutoka kwake anaweza kufanya lolote kwa lengo lakulipiza kisasi hata kwa kutoka na kuzaa na mjungaji wakanisa lake, anaweza akabadili kua mama wakanisa manaake kukesha over night prayer ikawa kawaida kila wiki.
Huoni ila unaishi nae tuu kama permanent mchepukoKuoa mke mgine ni kujitafutia matatizo mengine, kua nao wana changamoyo zao ngumu, tena kimbuka wanawake ni wale wale siku zote.
Prof.Janabi Aliwahi eleza hayo Mabadiliko husababishwa na ma adiliko ya hormones ambapo hata hedhi hupungua so kuzua hizo shida zinazomfanya kuwa jike dume.Mwanamke wakifikisha umri wa miaka 40 kwa 50 hubadilika kitabia na hulka zao kwa sababu ndo umri wao wa 'last card' au wa mwishwo kwenye ndoa kabla ya kua Bibi na kuanza kulea wajukuu.