Hakuna mfumo maalumu ni vile tu kile ulichokikosa kwa miaka mitatu umekipata ndani ya miezi mitatu.Hivi inakuaje unakaa na mwanamke kwenye uhusiano kwa muda mrefu inaeza kuwa miaka hata mitatu au zaidi lakini unamuacha alafu unaenda kuoa mwanamke ambae umejuana nae ndani ya miezi kadhaa tu, tena wengine hata miezi mitatu inakuwa haijafika na unafunga nae ndoa. Kwanini mnafanyaga hivi?
very trueHakuna mfumo maalumu ni vile tu kile ulichokikosa kwa miaka mitatu umekipata ndani ya miezi mitatu.
Siyo wanaume tuu, hata huyo unayemuoa baadq ya kujuana muda mfupi ana jamaa yake wamekaa miaka mitano bila kuoana.Hivi inakuaje unakaa na mwanamke kwenye uhusiano kwa muda mrefu inaeza kuwa miaka hata mitatu au zaidi lakini unamuacha alafu unaenda kuoa mwanamke ambae umejuana nae ndani ya miezi kadhaa tu, tena wengine hata miezi mitatu inakuwa haijafika na unafunga nae ndoa. Kwanini mnafanyaga hivi?
Huna vigezo kwa huyo mwanaume amepata mwenye vigezoHivi inakuaje unakaa na mwanamke kwenye uhusiano kwa muda mrefu inaeza kuwa miaka hata mitatu au zaidi lakini unamuacha alafu unaenda kuoa mwanamke ambae umejuana nae ndani ya miezi kadhaa tu, tena wengine hata miezi mitatu inakuwa haijafika na unafunga nae ndoa. Kwanini mnafanyaga hivi?
Hakuna kinachoogopesha ni vile wengi huwa tunakosea kwa kukurupuka kuanzisha mahusiano bila malengo ya ndoa kisha tunakuja kutafuta malengo hayo tukiwa ndani ya mahusiano.Ila mambo haya yanaogopesha sana
Kadri unavyozidi kukaa na mwanamke unagundua mapungufu yake mengi na huwezi kumuoa!Hivi inakuaje unakaa na mwanamke kwenye uhusiano kwa muda mrefu inaeza kuwa miaka hata mitatu au zaidi lakini unamuacha alafu unaenda kuoa mwanamke ambae umejuana nae ndani ya miezi kadhaa tu, tena wengine hata miezi mitatu inakuwa haijafika na unafunga nae ndoa. Kwanini mnafanyaga hivi?